ASANTE SANA KWA HILI, NILIKUWA NAAMINI KIBALI ANACHO ILA ALITAKA KUTENGENEZA CHUKI TUU. SIO RAHISI AU HAIWEZEKANI KURUSHA NDEGE BILA APPROVAL YA FLIGHT PLAN, NA NILIUZA MASWALI MENGI SANA .
Na hata nikamalizia kuwa baada ya helicopter kufika Kawe bila ruhusa hio ndege ataenda kuipaki nyumbani kwake? Watu wa Insurance watamwacha? na ataendeshaji bila kuwa na contact na control tower ya karibu na anako kwenda?Na mwenye ndege anaruhusu kwani amepandwa na ujinga gani au aliokota pesa ya kununua hiyo helicopter? Na kuna uwezekano jeshi letu la anga likaichukulia ni ndege ya adui kwa kuwa haina utambulisho angani wa mamlaka husika2015 ilikuwa hakuna vibali ni kutoa taarifa basi,yote hii ni Mafigisu ya Magu