Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA! Yasema CHADEMA waliomba kibali cha kuruka kwenda Dar leo saa tatu asubuhi

Mamlaka ya anga wametuangusha sana, lissu ni mgombea urais, hawakupaswa kumsumbua hivo, walipaswa kutoa kibali cha kutua na kuondoka popote kipindi hiki cha kampeni.Kuomba Kibali cha kampeni muda wote kwa mgombea urais haiji.
 
Kwahiyo tundu aliruka kuja dar bila kibali😂,wadanganyeni mazuzu wenzenu,Lissu hayupo na hawezi kuwa juu ya sheria.
 
Kwani yule rubani Mtanzania aliyeiba ndege ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mwaka 1977 Jumuiya ilipovunjika aliirusha ndege kwa ruhusa ipi?
Unaongelea 77 wakati tupo 2020 we kweli boya
 
Tunakoelekea tutaanza kuombana vibali vya kuendesha magari barabarani.....
 
Weka nakala ya kibali Cha chadema hapo ili kumuona muongo ni Nina.
 
TCRA nao watasema simu ndio zilikuwa na tatizo
 
Mtu kama wewe unatumia makalio kufikiri. You Expect what kind of explanation from this evil government? You are axis of evils
 
Wanadhani sisi ni wajinga kama wao...
 
TCAA hamjasema mlipokea barua saa 3 na mkawajibu warekebishe sangapi hapo mnakwepa mnajua tu muda wao kurekebisha barua, mliamua kutoa barua baada ya yeye kutangaza kuwa ataondoka bila kibali. wao chadema hawawezi kukaa na barua wairekebishe kwa masaa 4 haiwezekani hapa kuna jambo lilibuma kaona mfanye fasta tu mumruhusu isilete taswira mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…