Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Umekuwa mnyonge sana,matokeo ya urais lini?Nani atawaamini hao mamluki ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekuwa mnyonge sana,matokeo ya urais lini?Nani atawaamini hao mamluki ?
Kusema uongo?Ni jambo jema!
Umepanic dadaUtopolo tu. Ngojeni matokeo
Matokeo ya urais lini?..Tcaa ni WAONGO.
..Wamegeuka kuwa Jumuiya ya CCM.
..Shame on them!!
Kwahiyo tundu aliruka kuja dar bila kibali😂,wadanganyeni mazuzu wenzenu,Lissu hayupo na hawezi kuwa juu ya sheria.Wambieni hao TCAA ni wapuuzi tu kama walivyo Lumumba walojaza matope ,ujinga, upumbavu ..
T.lissu na team yake sio wajinga, et kurekebisha Kibali iwachukue masaa manne .
Ukweli nikua MWAMBA TUNDU ANTIPHAS LISSU ALIAMUA MWENYEWR KWA MAKUSUDI KABISA, KUMUAMURU RUBANI WA CHOPA YAKE, KUONDOA MZIGO KAMA AMBAVYO ALIAMUA KUTUMIA MTUMBWI KUVUKA ZIWA.
HUYO NDIO LISSU.
SASA MAFALA WA TCAA WANALETA UPUMBAVU UPUMBAVU.. WAENDE WADANGANYE MAJINGA YA LUMUMBA..
Unaongelea 77 wakati tupo 2020 we kweli boyaKwani yule rubani Mtanzania aliyeiba ndege ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mwaka 1977 Jumuiya ilipovunjika aliirusha ndege kwa ruhusa ipi?
Waongo kuwashinda chadema?..Tcaa ni WAONGO.
..Wamegeuka kuwa Jumuiya ya CCM.
..Shame on them!!
Weka nakala ya kibali Cha chadema hapo ili kumuona muongo ni Nina.Wasalaam wana jamvi!
Baada ya mgombea wa CHADEMA kuwatuhumu mamlaka ya anga kumchelewesha kwenda Dar kwa kutumia helkopta ...leo mamlaka ya anga wamemjibu na kushangazwa na upotoshaji wao!
Mamalaka ya anga wameweka wazi kuwa helkopta ya Lissu haikuwa na Ratiba ya kwenda dar ikitokea Kilimanjaro bali ilikuwa na Ratiba ya kutoka Killimanjaro kurudi Nairobi
Mamlaka wanasema State Aviation walipeleka maombi ya mabadiliko ya ratiba hiyo saa tatu asubuhi wakisema watakwenda Dar -Tanganyika Packers.
Mamlaka ya anga wanasema hata hivyo maombi ya kibali hicho yalikuwa na mapungufu kwani kwamujibu wa sheria za anga unapoomba kibali unatakiwa kuonesha unakwenda wapi na baada ya hapo utakwenda wapi..hivyo wamiliki wa helkopta waliambiwa wakaeekebishe maombi na kuondoa mapungufu ili wapewe kibali!
Hata hivyo chadema na wamiliki walirekebisha maombi yao na kupewa ruhusa ya kwenda Dar Tanganyika Packers!
Hivyo si kweli walinyimwa kibali bali walijichelewesha wenyewe wakati wanaujua utaratibu!
View attachment 1613954
Ni kweli ndiyo maana tuliwaambia lisu ni muongo
Mtu kama wewe unatumia makalio kufikiri. You Expect what kind of explanation from this evil government? You are axis of evilsWasalaam wana jamvi!
Baada ya mgombea wa CHADEMA kuwatuhumu mamlaka ya anga kumchelewesha kwenda Dar kwa kutumia helkopta ...leo mamlaka ya anga wamemjibu na kushangazwa na upotoshaji wao!
Mamalaka ya anga wameweka wazi kuwa helkopta ya Lissu haikuwa na Ratiba ya kwenda dar ikitokea Kilimanjaro bali ilikuwa na Ratiba ya kutoka Killimanjaro kurudi Nairobi
Mamlaka wanasema State Aviation walipeleka maombi ya mabadiliko ya ratiba hiyo saa tatu asubuhi wakisema watakwenda Dar -Tanganyika Packers.
Mamlaka ya anga wanasema hata hivyo maombi ya kibali hicho yalikuwa na mapungufu kwani kwamujibu wa sheria za anga unapoomba kibali unatakiwa kuonesha unakwenda wapi na baada ya hapo utakwenda wapi..hivyo wamiliki wa helkopta waliambiwa wakaeekebishe maombi na kuondoa mapungufu ili wapewe kibali!
Hata hivyo chadema na wamiliki walirekebisha maombi yao na kupewa ruhusa ya kwenda Dar Tanganyika Packers!
Hivyo si kweli walinyimwa kibali bali walijichelewesha wenyewe wakati wanaujua utaratibu!
View attachment 1613954
Wanadhani sisi ni wajinga kama wao...Wambieni hao TCAA ni wapuuzi tu kama walivyo Lumumba walojaza matope ,ujinga, upumbavu ..
T.lissu na team yake sio wajinga, et kurekebisha Kibali iwachukue masaa manne .
Ukweli nikua MWAMBA TUNDU ANTIPHAS LISSU ALIAMUA MWENYEWR KWA MAKUSUDI KABISA, KUMUAMURU RUBANI WA CHOPA YAKE, KUONDOA MZIGO KAMA AMBAVYO ALIAMUA KUTUMIA MTUMBWI KUVUKA ZIWA.
HUYO NDIO LISSU.
SASA MAFALA WA TCAA WANALETA UPUMBAVU UPUMBAVU.. WAENDE WADANGANYE MAJINGA YA LUMUMBA..
Tumewazoea nyie mlimnyima kivuko kwenda ukerewe pambafChadema ni kiwanda cha uongo
Kamuulize wakala wako hayo maswaliHa haaa CCM nyie ni wezi sana ,sasa unaweza sema hapa palikuwa na Kura ngapi huyu Mama ametumbukiza !?.
View attachment 1614092
TCAA hamjasema mlipokea barua saa 3 na mkawajibu warekebishe sangapi hapo mnakwepa mnajua tu muda wao kurekebisha barua, mliamua kutoa barua baada ya yeye kutangaza kuwa ataondoka bila kibali. wao chadema hawawezi kukaa na barua wairekebishe kwa masaa 4 haiwezekani hapa kuna jambo lilibuma kaona mfanye fasta tu mumruhusu isilete taswira mbaya.Wasalaam wana jamvi!