Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?

Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
 
Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?

Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?

Mwaka 2015 Deo Filikunjombe alianguka na helicopter na kufariki na rubani wake mzee Slaa alikuwa anarusha helicopter hiyo akiwa na miaka 68 na hakua na kibali cha kuruka kwa umri huo. Hapa mamlaka inafaa kupongezwa kwa kulinda usalama wa mgombea wa CHADEMA. Tafuteni ndege ingine badala ya kusingizia Serikali.
 
Ukisoma taarifa ya CHADEMA utagundua kuna shida upande wao maana hawajasema huyo afisa wa TCAA aliwaambia nini hasa sababu ya kuzuiwa kwao.

CHADEMA wanatakiwa kuwa waungwana. Walianza siku ya kurudisha fomu wakadai wamefika mapema wamewekwa chumba cha kusubiria wakiwa hawajui nini kinaendelea, kumbe wakijua uhakiki wa wadhamini ulikuwa ukiendelea baada ya wao kutofuata taratibu za kuhakiki wadhamini wao wakati wakizunguka.

Fuateni taratibu na muache uhuni, nani atakabidhi nchi kwa wahuni, wazushi na wapotoshaji?
 
Chadema ni mabingwa wa kulia lia. Hata hawaeleweki kazi yao kutafuta sympathy, ndio wataweza kuongoza nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…