Mara nyingi CHADEMA huwa wanapotosha ukweli.Chadema ni mabingwa wa kulia lia. Hata hawaeleweki kazi yao kutafuta sympathy, ndio wataweza kuongoza nchi?
Wakizungumza jambo usiwaanini moja kwa moja mpaka ufanye contercheck, rejea maelezo yao ya kuchelewa kuaga mwili wa Rais mstaafu, kuvunjika mguu M/kiti.