Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wanaoongea kiingereza vipi?
Sheria ya uchaguzi inaagiza kiswahili tu kuwa ndio lugha pekee kwenye kampeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaoongea kiingereza vipi?
Kiinglish wanafahamu wakina matonya tu, Wacha chichi tiliesomea ngumbaru tunyamaze. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu naona tatizo lipo kwa mtoa huduma, alijua ni kinyume cha taratibu ndio maana aliomba kibali cha muda, hivyo ndiye aliyehujumu kampeni.Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?
Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
unaelewa lakini au ni ubishi tu, mnataka wabatilishe kanuni na taratibu zilizowekwa? madhara yakitokea mtarudi hapa na lugha nyingine
Hayo maswali mngeyaelekeza State Aviation mlioingia nao mkataba.Uko sahihi sana, je mara ya mwisho huyo rubani kurusha hiyo helikopta ni alipokuwa na miaka 65, na hajawahi kurusha tena?
Ingalikuwa operator anajua kuwa anachofanya si kosa, asingeomba exemption ya kukubaliwa kumtumia over aged pilot. Ningekuwa Chadema ningeangalia kumdai fidia operator kwa kunisababishia hasara kwa uzembe wa kutomuandaa pilot kwa ndege iliyokuwa na kibali cha kuruka toka September hadi December. Ukitaka kujua uzembe wa Operator, Safari ya trh 10/9, exemption imeombwa 9/9, imekataliwa siku hiyohiyo lakini hawakumuarifu mteja mpaka alipowasiri uwanjani siku ya safari!!Ni vizuri watuambie pia siku zote ni nani aliyekuwa anaendesha hiyo helikopter???? Kama ni rubani huyohuyo imekuwaje wamzuie sasa???
Inaonekana ni swala linaloongozwa na sheria. Rubani anatakiwa asizidi miaka 65. Utatuzi ni rahisi tu. Hiyo kampuni ya State aviatian itumie rubani mwenye miaka chini ya 65 na kampeni ya mgombea uraisi iendelee.
Hayo maswali mngeyaelekeza State Aviation mlioingia nao mkataba.
Wenzio wamenukuu vifungu vya sheria wewe unataka waanze kumfanyia tathimini mtu?Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?
Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Sheria inakataza pumbavuJe, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?
Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Mkuu naona tatizo lipo kwa mtoa huduma, alijua ni kinyume cha taratibu ndio maana aliomba kibali cha muda, hivyo ndiye aliyehujumu kampeni.
Wa 65 anaruhusiwa..!? Maana kama ndo cutoff basi alitakiwa aruhusiweInaonekana ni swala linaloongozwa na sheria. Rubani anatakiwa asizidi miaka 65. Utatuzi ni rahisi tu. Hiyo kampuni ya State aviatian itumie rubani mwenye miaka chini ya 65 na kampeni ya mgombea uraisi iendelee.
.... lakini hiyo article hapo juu imeonyesha baadhi ya Nchi duniani kutokana na upungufu wa pilots katika Nchi zao wameongeza umri huo hadi miaka 67 na Nchi nyingine ziko mbioni kuongeza umri huo.
Natetea vipi wakati State Aviation ndio wameomba kibali kumtumia rubani ambaye umri hauruhusu!Ww ulipokuwa unatetea hapa kwani ni msemaji wa hiyo state Aviation?
Aisee...! Tuchutame tu mkuu, hawa viongozi wa Chadema wa sasa 'wanatuaibisha' sana. Ebu waulize, hawa viongozi wa Chadema ni sababu gani hapo ambayo haieleweki kama walivyo'tuongopea' kwenye taarifa yao ya kunyimwa kibali na TCAA? 'Tutachukuaje' madaraka ya nchi kama 'tunakuwa' waongo waongo namna hii?Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?
Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Umefurahiii, nyumbu banaa...Safi sana waache upotoshaji