Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

Sheria ya uchaguzi inaagiza kiswahili tu kuwa ndio lugha pekee kwenye kampeni.

Sheria haiagizi hivyo. Mbona kila siku wagombea wanachanganya Kingereza na Kiswahili (Kiswangilishi). Juu ya hili sheria inasema nini? Au Kiwangilishi ni Kiswahili. Magufuli huwa anatumia Kiswasukuma
 
siku za nyuma ilipewa kibali kumtumia pilot ambaye ni above 65 YO kwanini leo walinyimwa hicho kibali?
Nawaza...! Kama siku za nyuma alikuwa 65 na miezi miwili, Hapo TCAA wanaweza kutumia 'common sense' kumruhusu! Lakini kama anakimbilia 70 kasoro kidogo...! Hawawezi kukubali. Ebu tufafanulie, huyo Rubani aaliyekuwa anaombewa kibali ana umri gani!?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Niliyemqoute kasema taasisi za nchi hii zinasimamia sheria, ndio nikatao mfano wa kuongea kisukuma. Hakuna anayekataa kisukuma kutumika, ila sheria za uchaguzi ni marufuku kutumia kilugha nje ya kiswahili.
Hao wanaomsikiliza mgombea sio wote wenye kuelewa vyema kiswahili.

Na kisukuma kinachomekewa tu haiwi ni hotuba nzima. Na lugha zetu huwezi kuzikwepa kwani kiswahili kwa wengi wetu ni lugha ya pili.
 
Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?

Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Umeshaambiwa kuna vigezo vya umri vimewekwa..unaanza kuhoji kisiasa.. baadhi ya wabongo ndio maana mnakuwa malofa..

Akianguka mtasema serikali imesababisha..kuna umri wa kupaa angani.
 
unaelewa lakini au ni ubishi tu, mnataka wabatilishe kanuni na taratibu zilizowekwa? madhara yakitokea mtarudi hapa na lugha nyingine

Helikopta ikianguka na watu wakafa ni hawa hawa watakaoanzisha mada za kutaka watu wa mamlaka ya anga wawajibike.
 
Kisukuma ni lugha. Kama anadhani message yake itafika vizuri akitumia kisukuma kwa nini asitumie. Hakuna sheria inayomkataza.

Kasome sheria za uchaguzi matumizi vya lugha kisha ulete mrejesho. Kitu kama hujui kaa kimya.
 
Wenzio wamenukuu vifungu vya sheria wewe unataka waanze kumfanyia tathimini mtu?

Hivi bavicha mna akili kweli?

Halafu hawa ndio wanajifanya wanajua sana kingereza lakini kiswahili kinawashinda hahah
 
Tunawashukuru TCAA kwa kuokoa maisha ya watumiaji na wasio watumiaji wa anga .
Hii siucide mission ya Lissu imebuma.
MWAKA HUU HAMNA KISINGIZIO...
 
Tatizo lako una UFINYU wa akili. Sasa hao wenye kampuni wataombaje kibali kama wanajua kwamba hakuna utaratibu wa kuruhusu aliye above 65 kurusha helicopter?
😳😳😳

Umeshaambiwa kuna vigezo vya umri vimewekwa..unaanza kuhoji kisiasa.. baadhi ya wabongo ndio maana mnakuwa malofa..

Akianguka mtasema serikali imesababisha..kuna umri wa kupaa angani.
 
Hao wanaomsikiliza mgombea sio wote wenye kuelewa vyema kiswahili.

Na kisukuma kinachomekewa tu haiwi ni hotuba nzima. Na lugha zetu huwezi kuzikwepa kwani kiswahili kwa wengi wetu ni lugha ya pili.

Sina tatizo na lugha ya mtu, ila sheria za uchaguzi zinasema kabisa lugha ya kampeni ni kiswahili tu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
👊🏽👊🏽👊🏽 Ngoja tusubiri majibu ya kina kuhusu hili ili tujue mkosaji ni Chadema au TCAA?

Nawaza...! Kama siku za nyuma alikuwa 65 na miezi miwili, Hapo TCAA wanaweza kutumia 'common sense' kumruhusu! Lakini kama anakimbilia 70 kasoro kidogo...! Hawawezi kukubali. Ebu tufafanulie, huyo Rubani aaliyekuwa anaombewa kibali ana umri gani!?
 
Umeshaambiwa kuna vigezo vya umri vimewekwa..unaanza kuhoji kisiasa.. baadhi ya wabongo ndio maana mnakuwa malofa..

Akianguka mtasema serikali imesababisha..kuna umri wa kupaa angani.
Ukisoma hoja zao utadhani wanatumia masaburi kifikiri. Mtu anaanza kulinganisha USA, China, Japan while ameshaambiwa sheria za nchi yake zinasemaje.
 
Tatizo lako una UFINYU wa akili. Sasa hao wenye kampuni wataombaje kibali kama wanajua kwamba hakuna utaratibu wa kuruhusu aliye above 65 kurusha helicopter?
[emoji15][emoji15][emoji15]
Wao wanachoangalia ni pesa..ndio maana umeona wameomba exemption..

Serikali haifanyi kazi kwa makisio au kubahatisha kwamba atawaendesha tu mbona amesema anaweza.
 
Ukisoma hoja zao utadhani wanatumia masaburi kifikiri. Mtu anaanza kulinganisha USA, China, Japan while ameshaambiwa sheria za nchi yake zinasemaje.
Badae watasema kahujumiwa..wakiambiwa rubani alikuwa mzee watasema mbona serikali haikuzuia..hawa serikali ingekuwa inawasikilizaga ingekuwa shida sana.
 
Huwezi kusema Chadema walificha ukweli bila kujua jibu walilopewa.

Hao wenye helicopter wanajua kuna utaratibu wa kuomba kibali kama pilot ni above 65 YO ndiyo sababu waliomba kibali vinginevyo wasingeomba kibali.

Swali kama hiyo kampuni siku za nyuma ilipewa kibali kumtumia pilot ambaye ni above 65 YO kwanini leo walinyimwa hicho kibali?

Hilo huwezi kubisha. Walificha ukweli ndiyo maana kwenye barua yao walisema wamenyimwa kibali cha kuruka. Kibali walikuwa nacho, lakini walitaka kumtumia rubani aliyekwisha poteza sifa za kuwa rubani mwenye kubeba abiria. Wewe huoni hapo waliminya ukweli wakati wanajuwa fika kuwa kibali wanacho na rubani ndiyo hawana. sasa kama rubani hawana mamlaka iwaruhusu tu. Kesho na kesho kutwa ikitokea ajali, ninyi haohao ndiyo mtakuwa wa kwanza kulalamika kuwa hizo zilikuwa njama tu za kumumiza au kumuua Lisu. Au mlitaka jali itoke mui"sue" mamlaka mvune mamilioni!
 
Kwa hiyo tatizo lipo hiyo kampuni ya State aviation! Hii kampuni haina rubani wa chini ya miaka 65 wa kumuendesha mgombea uraisi!
Wapo lukuki lakini agizo toka juu litabaki palepale kwa madai kuwa vijana hawafai labda chekechea nia ikiwa kuzuia Mgombea wa Upinzani asifanye kampeni akamshinda kipenzi chao ambaye hawezi kushindana na yeyote bila kubebwa.
 
Back
Top Bottom