Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Basi ipo haja ya mgombea wa CCM kuvuliwa ugombea wake na tume ya uchaguzi.Hairuhusiwi kutumika kwenye kampeni kasome maadili ya uchaguzi mkuu 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ipo haja ya mgombea wa CCM kuvuliwa ugombea wake na tume ya uchaguzi.Hairuhusiwi kutumika kwenye kampeni kasome maadili ya uchaguzi mkuu 2020
Mwaka 2015 Deo filikunjombe alianguka na helicopter na kufariki na rubani wake mzee Slaa Mzee Slaa alikua anarusha helicopter hiyo akiwa na miaka 68 na hakua na kibali cha kuruka kwa umri huo. Hapa mamlaka inafaa kupongezwa kwa kulinda usalama wa mgombea wa CHADEMA. Tafuteni ndege ingine badala ya kusingizia serikali.
mungu wangu mzee wasira kajitokeza , na mmisi sana huyu mzee ila , huyu bado ni hazina ya nchi , bila kumsahau chenge mhNi yeye2020
umri bado sio kigezo , mbona mzee makamba na umri wake bado ana uwezo mzuri wa kusimama juu ya jukwaa na kutawala jukwaa kuliko hata vijana , aliesema nesi au dactari akifika miaka 70 hawezi choma sindano ni nani, ujuzi hauzeeki mkuuKwani local civil aviation authority ya Tanzania (TCAA) imeweka umri huo kuwa ni miaka mingapi? Je wameextend zaidi ya miaka hiyo 65?
Wewe umeshahukumu tayari.Ahaaaa! Kwa hiyo huo utaratibu wa kutoa exemption kuhusu umri upo sasa kama upo ni kwanini TCAA jana hawakutoa exemption hiyo? Walitumia vigezo vipi kufikia hitimisho la kutotoa kibali? Tusubiri ili tujue kama wanaostahili kulaumiwa ni Chadema au TCAA walipokea maagizo toka mamlaka za juu?
We umeskia TCAA ndio watunzi wa hyo kanuni ya umri? Acheni unyumbu basi. Mbona Mungu katumia muda wake mwingi kuwaumba kwa mfano wake afu mnamkana kiboya tu?Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?
Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
umri bado sio kigezo , mbona mzee makamba na umri wake bado ana uwezo mzuri wa kusimama juu ya jukwaa na kutawala jukwaa kuliko hata vijana , aliesema nesi au dactari akifika miaka 70 hawezi choma sindano ni nani, ujuzi hauzeeki mkuu
We umeskia TCAA ndio watunzi wa hyo kanuni ya umri? Acheni unyumbu basi. Mbona Mungu katumia muda wake mwingi kuwaumba kwa mfano wake afu mnamkana kiboya tu?
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
We can't risk our national security for your stupid interest. For this CDM mfe- fail vibaya sana. Ingekuwa kupeleka mgonjwa we could accept that..... lakini hiyo article hapo juu imeonyesha baadhi ya Nchi duniani kutokana na upungufu wa pilots katika Nchi zao wameongeza umri huo hadi miaka 67 na Nchi nyingine ziko mbioni kuongeza umri huo.
hayo maneno sijui kuanguka hataki sikia hapa , hivi ajali za magari amabazo utokea tz huwa wanaendesha wazee au vijana , ok sasa naja kwenu chadema , natoa ushauri sio wangu bali ni wa yule anipae pumzi ya kutosha , na alieziumba mbingu na vitu vyote.Wenye kuuweka ubongo likizo ni wale wenye kumiliki helikopta ambao ndio waliowakodisha chadema kwa ajili ya kipindi cha kampeni.
Helikopta ikianguka na watu wakafa wa kwanza kulaumiwa ni Hamza na ofisi yake,hawezi kukubali mambo yajiendee tu kiholela.
Mkuu Haya umeyaandika ukiwa umekunywa pombe?hayo maneno sijui kuanguka hataki sikia hapa , hivi ajali za magari amabazo utokea tz huwa wanaendesha wazee au vijana , ok sasa naja kwenu chadema , natoa ushauri sio wangu bali ni wa yule anipae pumzi ya kutosha , na alieziumba mbingu na vitu vyote.
HIYO KAMPUNI YA CHOPA MSIITUMIE TENA BUT TAFUTA KAMPUNI YOYOTE INAYOKODISHA CHOPA ILA ISIWE HIYO , ROHO MTAKATIFU ANAGOMA , CHUKUA YOYOTE KAMPUNI HATA KUTOKA NJE YA NCHI NA KAMA HAIWEZEKANI , TUMIA NJIA MBADALA
Wakiitwa makamanda huwambii kitu, wanasema eti wanajitambua ..... Kumbe vichwa vya panzi... 😆 😆Hiv hizi akili za ngadu mnatoaga wapi? Sasa hao uliowataja ni marubani au abiria? Mmh kweli nchi ina vijana mizigo
Peleka pingamizi tume ya uchaguzi ili Magufuli aondolewe miongoni mwa wagombea.Hairuhusiwi kutumika kwenye kampeni kasome maadili ya uchaguzi mkuu 2020
We Kilaza hujasoma hayo maelezo kuwa CHADEMA walikua wanajua hivyo wakamuombea Exemption (Yaani msamaha/ruhusa ya kurusha ndege katika umri hu) Yaani ni CHADEMA ndiyo waliopeleka maombi na TCAA wakakataaa.Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?
Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
We can't risk our national security for your stupid interest. For this CDM mfe- fail vibaya sana. Ingekuwa kupeleka mgonjwa we could accept that.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app