Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Nadhani sasa tupunguze kukimbilia kwenye media na kurusha tuhuma tuu bila kufanya tafiti na kujiridhisha kiini cha maamuzi flani flani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshaambiwa hiyo kampuni imeomba msamaha ili imtumie huyo rubani na ndio maana mamlaka zikakataa kwa kuwa ni kinyume na sheria.Ni vizuri watuambie pia siku zote ni nani aliyekuwa anaendesha hiyo helikopter???? Kama ni rubani huyohuyo imekuwaje wamzuie sasa???
Hiyo ina maana TZ haijaongeza huo umri, labda kwa sababu haja haikuwepo. Nafikiri sasa ni muda muafaka kulipeleka hilo kwenye bunge lijalo, lakini sioni lina haraka. Ila nasikitika kuwa CHADEMA/BAVICHA walificha ukweli na kubadilisha hilo jambo. Ukweli ni kuwa kampuni ilitakiwa ipeleke maomba katika muda ambao wangekataliwa wangepata ALTERNATIVE. lINGINE, NI KUHUSU ukata AU KUTEMBEZA BAKULI KWA chadema KAMA WANA UKATA KWA NINI WATUMIE USAFIRI WA GHARAMA KUBWA. wEWE MASKINI, LAKINI BADALA YA KUTUMIA GARI UNATAKA NDEGE.
Aruhusiwe vipi wakati umeandikiwa ana zaidi ya 65!Wa 65 anaruhusiwa..!? Maana kama ndo cutoff basi alitakiwa aruhusiwe
Lakini Halima Mdee alishamwanga 'ubuyu'...kuwa wao (Chadema) ni wahuni wa kitaa...! nadhani baadhi tulikuwa hatujamuelewa. Leo sasa ndiyo tumemuelewa kuwa Chadema wahuni.Eti sababu zisizoeleweka!
That "however" will apply when TZ enacts a law to that effect. If our aviation agency has not been given the mandate, it cannot do it for political activities or any other activity.Kamanda jinga jinga sheria inasemaje kuhusu umri?
Aione Salary Slip, Mmawia, Na yule mwenye jina la dawa/sumu... Erythrocyte !!1Nadhani sasa tupunguze kukimbilia kwenye media na kurusha tuhuma tuu bila kufanya tafiti na kujiridhisha kiini cha maamuzi flani flani..
Hakika.Lakini Halima Mdee alishamwanga 'ubuyu'...kuwa wao (Chadema) ni wahuni wa kitaa...! nadhani baadhi tulikuwa hatujamuelewa. Leo sasa ndiyo tumemuelewa kuwa Chadema wahuni.
Hiyo Helcopta angeomba baba mwenye nyumba alieyumba angepewa fasta sana!
Aisee...! Tuchutame tu makuu, hawa viongozi wa Chadema wa sasa 'wanatuaibisha' sana. Ebu waulize, hawa viongozi wa Chadema ni sababu gani hapo ambayo haieleweki kama walivyo'tuongopea' kwenye taarifa yao ya kunyimwa kibali na TCAA? 'Tutachukuaje' madaraka ya nchi kama 'tunakuwa' waongo waongo namna hii?
Mimi nilijua 'watatuaibisha' tu kwa maelezo yao yale!
Chadema wanataka tufuate sheria lakini wao wanataka wazivunje...! Wanatafuta kisingizio cha kipuuzi kabisa ili 'watuabishe' wanachadema. Sasa aibu hii...'tutaficha' wapi nyuso 'zetu' ! Wa'meniudhi' !!
Uko sahihi sana, je mara ya mwisho huyo rubani kurusha hiyo helikopta ni alipokuwa na miaka 65, na hajawahi kurusha tena?
Hizo taasisi hazioni matumizi ya kisukuma kwenye kampeni?
Ni mambo ya ajabu sana. Kwa watu ambao wako serious Dar-Bagamoyo kwa private ni dakika 20 au chini ya hapo walishindwa nini kwenda kuhutubia wanachama wao wanasingizia chopaMaandiko yanasema ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako, hiyo sheria ipo na inatumika miaka yote kwa nini hamkuhoji? nani kawadanganya kwamba nyie ni special sana? sio nyie kila uchao mnalalamikia uvunjwaji wa sheria na vyombo, taasisi au watu kadhaa? wakifuata na kusimamia sheria pia ni kosa? hamjui hata mnataka nini, jiandaeni na 5% ya kura zote 28 October.
JPM anachana mikoa miwili kwa siku na anahutubia karibu kila kata, acheni uvivu, tembeeni barabarani muone kero za wananchi ili msijeropoka tena kwamba Magufuli anajenga miundombinu tu.
Hao jamaa wametokomea kusikojulikana.Aione Salary Slip, Mmawia, Na yule mwenye jina la dawa/sumu... Erythrocyte !!1
Nimewaelewa Mamlaka ya anga . Sasa huyo rubani mzee kibali huwa anapata wapi au nyie hamuhusiki na vibali vya marubani ? Hamjui kuwa hao watoa huduma za helcopter wana rubani mzee ?
Halafu namshauri tu TL atumie magari tu maana bado tunachanga michango ya kampeni huku kitaa ameanza kukodi helcopter it is not fair [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatafuta huruma ya wananchi, hawana loloteUkisoma taarifa ya CHADEMA utagundua kuna shida upande wao maana hawajasema huyo afisa wa TCAA aliwaambia nini hasa sababu ya kuzuiwa kwao.
CHADEMA wanatakiwa kuwa waungwana. Walianza siku ya kurudisha fomu wakadai wamefika mapema wamewekwa chumba cha kusubiria wakiwa hawajui nini kinaendelea, kumbe wakijua uhakiki wa wadhamini ulikuwa ukiendelea baada ya wao kutofuata taratibu za kuhakiki wadhamini wao wakati wakizunguka.
Fuateni taratibu na muache uhuni, nani atakabidhi nchi kwa wahuni, wazushi na wapotoshaji?