TCAA yaziruhusu Ndege za Kenya kutua Tanzania

TCAA yaziruhusu Ndege za Kenya kutua Tanzania

Magu kuna mambo mengi mazuri amefanya kwa maslahi ya taifa hili....
Sio MAGU tu,nimependa the fact kwamba magu kawapa spirit nzuri sana ya "msimamo kwa maslai" ya taifa viongozi wa idara mbalimbali za serikali.

Watu wana-act kwanza,baadae ndo wanampa taarifa President kwenye kitu chochote kinachoonekana kinaiumiza Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania.

Hongera kwa Mkurugenzi Mkuu wa TCAA.
 
Anytime otherwise a ban to KQ incase of any attempt to block ATCL to ply ur territory!
Tushajua dawa ya hawa [emoji205] sikuhiz wakutusumbua tu tunawakamata hapa ,hata hiyo ruti ya Kenya hatujaitaka bado ngoja zikishaongezwa ndege hizo 5 lazima mahitaji ya ruti yatahitajika sasa wekijifanya roho mbaya tu tunawakamata tena hapo gapo yani sasa hivi TZ inapotaka kitu Kwa [emoji205] bc tunawaminya sehem hiyo wenyewe watatoa tu
 
A wapi!!14 days auarantine ilikua ni manyanyaso tena kwa gharama zenu, hapo kidogo tumebugi ndio manake jiwe kaona enough is enough..

Kumbe ilikua mnadungwa 14 days kutoka kitambo sana usione zile mbwembwe zote km hamna haja ya kuja kenya
Kila cku tunasema humu wakenya wengi vichaa sasa hiyo karantini unajifanya ndo umeijua leo wakati mulikuwa munashabikia humu lazima tukae karantini! Ukweli nadhani mushaujua nani Taifa kilanja hapa E.A tunachotaka ndio kitakachokua siku zote sio munachotaka ninyi sio Kwa ke ,Ug ,Bur, Zam,Rwa, TZ ndie mwenye kula ya veto asilia sio ya kupewa na wazungu
 
Wangekaza tu.

Hakuna kuruhusu ndege mpaka corona iishe kabisa.

Hapo inaonekana kama Tz walikuwa wanasubiri huruma ya Kenya.
 
Kila cku tunasema humu wakenya wengi vichaa sasa hiyo karantini unajifanya ndo umeijua leo wakati mulikuwa munashabikia humu lazima tukae karantini! Ukweli nadhani mushaujua nani Taifa kilanja hapa E.A tunachotaka ndio kitakachokua siku zote sio munachotaka ninyi sio Kwa ke ,Ug ,Bur, Zam,Rwa, TZ ndie mwenye kula ya veto asilia sio ya kupewa na wazungu
Wakenya tunachotaka nyinyi ilikua ni kupimwa, na bado linatekelezwa mpka sasa..

Si mtake atcl itue nairobi basi
 
lets wait n see sina muda wa ku-argue upumbavu unaotaka kuanzisha! BTW si mara ya kwanza tunawafinya!
Yani kw ground vitu kumbe ni different, eti hamuihitaji tanzania kumbe kuna watu wenu wanakuja wanalishwa 14 days quarantine
 
_The united Republic of Tanzania shall always strive to adhere to the fundamental principles of Chicago convention 1944 and Bilateral Air Services Agreement between two states_ ...
Actually, the above sentence should have appeared like this: The United Republic of Tanzania ..........
 
Back
Top Bottom