TCAA yaziruhusu Ndege za Kenya kutua Tanzania

TCAA yaziruhusu Ndege za Kenya kutua Tanzania

1600260329895.png
 
Daaah tungewalia ngumu kwanza
Hapana, sisi ni walimu pia ni wazazi, halafu ni wanandoa tuliokomaa japo tuna style zetu,...
Ukizingua tunazingua papo, ukikaa sawa sie pia papo hapo, lkn wakirudiarudia siku nyingine .. hiiiiiii..!!!
 
Kale kamgogoro cha Tanzania na Kenya ka ndege za kenya kuzuiwa tz na watz kulazimishwa kukaa quarantine wakiingia Kenya umeisha!!
Sasa Kenya airways itaanza safari za Tanzania.
Kenya exempts Tanzanians from mandatory quarantine | Nation

Uchambuzi wangu.

Magufuli anajua dada yake Uhuru ni mmiliki mkubwa wa hisa Kenya airways. Huyu dada yake mtoto wake aliuwawa na Alshabab pale westgate mall Kenya.

Ndo maana kila Kenya wakikohoa, Magufuli anaisumbua Kenya airways. Pia alishawahi kuzuia maziwa yanayomilikiwa na Uhuru. Uhuru hana jinsi anakubali kushindwa.

Wazungu wangesema..Magufuli is too personal!!
 
Hapo kwenye uchambuzi wako hapo, ndiyo umedhihirisha wewe ni UVCCM wa Katibu Mkuu Bashiru Ali! Hata hujaeleweka.
 
Kale kamgogoro cha Tanzania na Kenya ka ndege za kenya kuzuiwa tz na watz kulazimishwa kukaa quarantine wakiingia Kenya umeisha!!
Sasa Kenya airways itaanza safari za Tanzania...
Magufuli baba lao
 
Hapo kwenye uchambuzi wako hapo, ndiyo umedhihirisha wewe ni UVCCM wa Katibu Mkuu Bashiru Ali! Hata hujaeleweka.
Hahahahaa.
Mi siyo UVCCM, sina chama. Angalia mada zangu. Mbili zimefutwa jana.

Moja ilimnukuu Lissu alivyosema Magufuli ni Fisadi !! Na nyingine ikihoji kama TCRA wameshakaba jamii forum.

Ndo hali halisi ya mahusiano yetu na Kenya. Magu kawabana p..u!
 
Huko kenya wakishavuta bangi na kutafuna mirungi ndo wanaenda kwenye mkutano wa kutoa maamuzi, ndo mikanganyiko tunayoiona. Tatizo jingine wanalambalamba sana viatu vya wazungu, wazungu wakishawaambia hakuna mtanzania kuingia kenya kwa sababu hawatoi data za korona, hapo mkenya atakimbia hadi kiatu kivuke kwenda kuweka zuio kila mahali. Wakenya baana, ni lini mtategemea akili zenu???
 
Hapana, sisi ni walimu pia ni wazazi, halafu ni wanandoa tuliokomaa japo tuna style zetu,...
Ukizingua tunazingua papo, ukikaa sawa sie pia papo hapo, lkn wakirudiarudia siku nyingine .. hiiiiiii..!!!
hahaaa naqbaliii mwamba
 
Safi sana JPM,,, wameshika adabu yao sasa, mikono juu mwendo wa mateka
 
Back
Top Bottom