moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Sio MAGU tu,nimependa the fact kwamba magu kawapa spirit nzuri sana ya "msimamo kwa maslai" ya taifa viongozi wa idara mbalimbali za serikali.Magu kuna mambo mengi mazuri amefanya kwa maslahi ya taifa hili....
. Naqbalii kiongozMuda tuliokaa kimya umetosha sana kuwafundisha kitu.
Tushajua dawa ya hawa [emoji205] sikuhiz wakutusumbua tu tunawakamata hapa ,hata hiyo ruti ya Kenya hatujaitaka bado ngoja zikishaongezwa ndege hizo 5 lazima mahitaji ya ruti yatahitajika sasa wekijifanya roho mbaya tu tunawakamata tena hapo gapo yani sasa hivi TZ inapotaka kitu Kwa [emoji205] bc tunawaminya sehem hiyo wenyewe watatoa tuAnytime otherwise a ban to KQ incase of any attempt to block ATCL to ply ur territory!
Kila cku tunasema humu wakenya wengi vichaa sasa hiyo karantini unajifanya ndo umeijua leo wakati mulikuwa munashabikia humu lazima tukae karantini! Ukweli nadhani mushaujua nani Taifa kilanja hapa E.A tunachotaka ndio kitakachokua siku zote sio munachotaka ninyi sio Kwa ke ,Ug ,Bur, Zam,Rwa, TZ ndie mwenye kula ya veto asilia sio ya kupewa na wazunguA wapi!!14 days auarantine ilikua ni manyanyaso tena kwa gharama zenu, hapo kidogo tumebugi ndio manake jiwe kaona enough is enough..
Kumbe ilikua mnadungwa 14 days kutoka kitambo sana usione zile mbwembwe zote km hamna haja ya kuja kenya
Jirani ni muhimu kama mstarabu,ila akiwa muhuni unaenda nae kihuni huni.Jirani ni mtu muhimu sana
Wakenya tunachotaka nyinyi ilikua ni kupimwa, na bado linatekelezwa mpka sasa..Kila cku tunasema humu wakenya wengi vichaa sasa hiyo karantini unajifanya ndo umeijua leo wakati mulikuwa munashabikia humu lazima tukae karantini! Ukweli nadhani mushaujua nani Taifa kilanja hapa E.A tunachotaka ndio kitakachokua siku zote sio munachotaka ninyi sio Kwa ke ,Ug ,Bur, Zam,Rwa, TZ ndie mwenye kula ya veto asilia sio ya kupewa na wazungu
HahaaaAtcl hawana ruti ya NBO hata kabla ya corona...labda waianzishe sasa.
Ruti ya NBO iko chini ya Precision Air.
Yani kw ground vitu kumbe ni different, eti hamuihitaji tanzania kumbe kuna watu wenu wanakuja wanalishwa 14 days quarantinelets wait n see sina muda wa ku-argue upumbavu unaotaka kuanzisha! BTW si mara ya kwanza tunawafinya!
Actually, the above sentence should have appeared like this: The United Republic of Tanzania .........._The united Republic of Tanzania shall always strive to adhere to the fundamental principles of Chicago convention 1944 and Bilateral Air Services Agreement between two states_ ...
No,uhuni haufai,Jirani ni muhimu kama mstarabu,ila akiwa muhuni unaenda nae kihuni huni.
Ujinga huo.No,uhuni haufai,
Nenda nae kistaarabu ili nae abadilike
Emma huigwa na mabaya huigwa
Sawa bwana josephUjinga huo.
Usishabikie ujinga. Wanaoumia ni sisi "COMMON WANANCHI" sio Magufuli wala Bilionea Kenyata.Daaah tungewalia ngumu kwanza
we sio mzalendo mkuu ...tz ni nchi huru xo hatuwez kuwa chin ya KenyaUsishabikie ujinga. Wanaoumia ni sisi "COMMON WANANCHI" sio Magufuli wala Bilionea Kenyata.