TCC Plc Yapendekeza Gawio Kubwa Zaidi – TZS 650 kwa Wanahisa (2026)

TCC Plc Yapendekeza Gawio Kubwa Zaidi – TZS 650 kwa Wanahisa (2026)

RMK Freelancers Agency

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2025
Posts
397
Reaction score
442
TCC Plc Yapendekeza Gawio Kubwa Zaidi – TZS 650 kwa Hisa
Tanzania Cigarette Company Plc (TCC) imependekeza gawio la juu zaidi kwa mwaka wa fedha 2025, ikiendelea kujiimarisha kama moja ya dividend stocks imara ndani ya Dar es Salaam Stock Exchange.
DIVIDEND DETAILS (TAARIFA ZA GAWIO)
Final dividend (proposed): TZS 650 kwa hisa
Status: Inasubiri approval ya shareholders
Interim dividend (tayari ililipwa): TZS 400
Total dividend (2025): TZS 1,050 kwa hisa
PERFORMANCE INSIGHT (UTENDAJI WA KAMPUNI)
Net profit: ~TZS 135 Billion
Growth kutoka ~TZS 115 Billion mwaka uliopita
➡ Hii inaonyesha uwezo mkubwa wa kampuni ku-generate cash na kuwalipa wawekezaji wake.
KEY UNDERSTANDING (MUHIMU KUFAHAMU)
Hii bado ni proposal, si payout iliyothibitishwa
Baada ya Shareholders approval ndipo tarehe rasmi (ex-date, record date, payment date) zitatangazwa
WHY TCC STANDS OUT
Hulipa dividend mara mbili kwa mwaka (interim + final)
Ina consistency ya muda mrefu
Ni income stock, si ya speculation

MARKET EXPECTATION (PSYCHOLOGY YA SOKO)
News kama hizi huongeza investor confidence
Inaweza kusababisha gradual price appreciation kabla ya official dates
Lakini:
Bei bado ita-depend na valuation, si dividend pekee
Baada ya ex-dividend, correction huwa ni kawaida
FINAL INSIGHT
TCC inaendelea kuwa:
Chaguo la wawekezaji wanaotaka steady income
Kampuni yenye strong fundamentals and dividend discipline.

Tanzania Cigarette Company Plc (TCC) ni moja ya kampuni chache kwenye Dar es Salaam Stock Exchange zinazolipa gawio mara mbili kwa mwaka, tofauti na kampuni nyingi zinazolipa mara moja tu.

RMK,
INDEPENDENT STOCK ANALYST.
WhatsApp: +255 737 450 640
Kupata elimu na taarifa zaidi bonyeza hapa kujiunga na Chanel
Follow the Tanzania Wall Street channel on WhatsApp: Tanzania Wall Street
 
Back
Top Bottom