TV4Sale TCL 55" led

TV4Sale TCL 55" led

Nimekusoma. Sio mpya nitajitahidi kuweka picha kesho ila TCL kwa upande wa kushoto na kulia na juu unene wa board ni kama inchi moja kote ila pale chino ina unene wa angalau kam inchi 2 hivi. Hivyo ni Kioo tupu. Basi nitapiga kioo bil picha. Pembenini board ni silver TCL ni nyembamba sana pembezoni kioo kimejaa

Nadhani haya maelezo yatawaelewesha wengine
Nasubiri

Dumelang
 
Attachments

  • PIC_0075.JPG
    PIC_0075.JPG
    293.3 KB · Views: 7
Kumbe bei niliyoweka ni poa sana, basi nabadili gear. Nitamuuzia mtu mwenye dau kubwa. Asante sana mdau. Ukweli ni kwamba sio mpya kinachonifanya niuze nahamia shamba kwenye investment zangu nyingine kule hakuna umeme bado ila december utafika. Famila yangu ndogo sana. Ni mimi na wife ambaye yuko shamba watoto wawili wako chuo kikuu nje ya dar na mwingine nje ya nchi. Kwa hiyo kukaa na kitu kama hiki kukifungia ni "risky". Napat shida sana ku upload picha cm yangu imesumbua natum,ia windows phone sasa inazingua sana sana. Nikiuza nitawatarifu wadau ili uzi uishe
 
SHUKRANI WOTE NIMEUZA HIKI KIFAA. UZI UNAISHIA HAPA Ila nilichojifunza kuna watu wanakatisha tamaa wenzao. Kitu kama kipo sokoni, na kitu cha binafsi kama TV , Gari, n.k kuna sababu nyingi kwanini mtu anauza. mimi nilikuwa nauza sababu (naiondosha) getting rid OFF, kwasababu nina shughuli nyingine za kufanya ,TV it's not a big deal; Hivyo sihesabu kama hasara. Ninao uwezo wa kununua TV nyingine wakati wowote ndio maana nimetoa sababu za kibinafsi kwa nini nauza. TV kwanza hiyo sio smart tv ingawa nii kubwa kiasi, lakini kuna watu kuipata ni shida, na akiipata it's avery big deal, anaweza akaacha madirisha wazi kila mtu aione. Ndio matokeo ya kutoa sababu za kipuuzi humu jf. JF ni mahala pazuri kuuza kitu sabau dalalali unamkata. Hivyo taf Jaribu kufanya mawasiliano na muuzaji kwanza utapata elimu kama ni tapeli au ni uuzaji wa aina gani. Tuelimike Jamani.
 
Naona umeamua kuwachana kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli basi aliyenunua kalamba dume, sema muuzaji mashauzi kibao bila kuweka mawasiliano wala location... mara oooh serious buyer tayari yupo.!!

Aliyenunua ataleta mrejesho.
 
Back
Top Bottom