SHUKRANI WOTE NIMEUZA HIKI KIFAA. UZI UNAISHIA HAPA Ila nilichojifunza kuna watu wanakatisha tamaa wenzao. Kitu kama kipo sokoni, na kitu cha binafsi kama TV , Gari, n.k kuna sababu nyingi kwanini mtu anauza. mimi nilikuwa nauza sababu (naiondosha) getting rid OFF, kwasababu nina shughuli nyingine za kufanya ,TV it's not a big deal; Hivyo sihesabu kama hasara. Ninao uwezo wa kununua TV nyingine wakati wowote ndio maana nimetoa sababu za kibinafsi kwa nini nauza. TV kwanza hiyo sio smart tv ingawa nii kubwa kiasi, lakini kuna watu kuipata ni shida, na akiipata it's avery big deal, anaweza akaacha madirisha wazi kila mtu aione. Ndio matokeo ya kutoa sababu za kipuuzi humu jf. JF ni mahala pazuri kuuza kitu sabau dalalali unamkata. Hivyo taf Jaribu kufanya mawasiliano na muuzaji kwanza utapata elimu kama ni tapeli au ni uuzaji wa aina gani. Tuelimike Jamani.