TCRA bado mnaendelea kufanya kosa kwenye jina lenu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
TCRA mimi ni mtumiaji wa takwimu zenu, ila angalieni ripoti zenu nyingi mnakosea jina lenu, badala ya kuwa "Authority" mnajiita "Authory" hii inanipa mashaka kama data mnazotoa ziko sahihi ikiwa jina lenu tu mnakosea.


Ripoti ya June 2023, mmejiita "Authory"


June 2022, mmejiita "Authory"


December 2022 mmejiita "Authory"

Hebu njoeni mnijibu hapa, nyie ni TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY au TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORY
 
Graphics designer wao anakopi na kupesti maelezo hana mda wa kuandika heading
 
Obviously ni typing error

Hata mleta mada unaelewa ni makosa ya kiuandishi ila basi tu
 
Attach link tuthibitishe, unacho claim sikioni kwenye web yao!
 
Hawa wako sahihi kwani huwa hawafanyi kazi zao kama mamlaka wanachokifanya wanakijua wenyewe, siku hizi ni kawaida kuona stesheni za redio zinaingiliana, zinakatika katika kwa pamoja, usikivu usio bora na ubora hafifu wa sauti za matangazo.
TCRA huwa hawajibu malalamiko wala ushauri wa wananchi.
 
Tuhakikishie kama" authory " hiko kitu kipo kweli kwenye ripoti rasmi za hiyo mamlaka. Isije ikawa ni first draft ya ripoti ,wewe ndio umeichukua hivyo hivyo
 


Data zote haziwezi kuwa sahihi, it is copy and paste, kosa la hovyo sana hilo, kwenye data ndo shida kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…