kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kuna mitandao nchini kama Jambo tv ambayo inashabikia kutoa taarifa zinazowachanganya na kuwagawa wananchi. Serikali inasubiri hadi wapi ili kuifuta?
Kule Marekani kulikuwa na mtandao wa you tube the Dive wa kijana anaeitwa Jackson Hinkle ambao ulikuwa ukiripoti habari za vita ya Ukraine, wameufungia kwenye you tube pamoja na mitandao mingine kuonyesha kuwa hata Marekani ambako demokrasia imekomaa bado hakuna Uhuru mpana usiokuwa na mipaka.
Amani hii ya Tanzania haikuja hivihivi kama mvua, bali ni imekengwa na mambo mengi sana yakowemo kuchuja, kuzuia na kufuta vyombo vya habari vinavyowagawa watu.
Kuna vyombo vya habari nchini ambavyo watu wanaopenda kuwagawa wananchi hupendelea kuvitumia zaidi, serikali chukueni hatua mapema kabla amani yetu haijatuponyoka kwenye mikono yenu.
Kuna watu ambao wanatumia vyombo hivi kupinga kazi na maamuzi halali ya serikali, bunge na mahakama, mwishowe itakuwa nini kama sio vita vya wenyewe kwa wenyewe kati ya wanaoiamini serikali, bunge na maamuzi ya mahakama na wale wasioyaamini.