TCRA fungieni pale kati ya Ney wa mitego haraka

mzushi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
3,094
Reaction score
4,252
Ney wa mitego naona sasa ameishiwa na kuamua kutafuta kiki kwa nguvu,hii nyimbo yake haina maadili kabisa,cover yake ni matusi tupu. Nadhani TCRA imefika wakati huyu jamaa afungiwe kwa muda ili akajipange kwanza maana kichwani mashairi yenye maadili yameshakwisha.
 
Mwenye kuwa nayo naomba aitume hapa ili niiwasilishe Kwa wahusika ikatumbuliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…