TCRA fungieni pale kati ya Ney wa mitego haraka

TCRA fungieni pale kati ya Ney wa mitego haraka

Ney huwa ni mjinga wa kiwango chake japo mwenyewe huwa anajiona mwerevu sana, sijawahi kupenda wimbo wake hata mmoja
 
Hii ni moja ya picha za kava ya hiyo nyimbo kiukweli haijakaa poa kabisa!
98e8fcee42ba40877b83da4cfbf28399.jpg
Mhh! Hii hatari jamaa hakomi kila siku ni bifu na TCRA. Namshauri safari hii akatae kabisa kufungiwa au adhabu nyingine hadi pale wale wengine wooote walioadhibiwa naTCRA watakapo tii adhabu zao.
 
Kweli pale kati patamu,hadi tisiaraei wanapasikilizia kwanza.
 
Back
Top Bottom