TCRA fungieni pale kati ya Ney wa mitego haraka

TCRA fungieni pale kati ya Ney wa mitego haraka

Watu wengine wakuda, utafikiri wao wanamaadili vile!
 
Hii ni moja ya picha za kava ya hiyo nyimbo kiukweli haijakaa poa kabisa!
98e8fcee42ba40877b83da4cfbf28399.jpg
Ilitakiwa na nay nae aoneshe makalio yake
 
huyo bnt kataka mwenyewe msichana ambae ametoka kwenye mifupa ya mwanamke na akalelewa km bnti Mwenye kujithamini katu hatothubutu kufanya huo ujinga!!
Mbaya zaidi ukiuliza ni kiasi gani amelipwa utaambiwa si zaidi ya elfu 50. kwa kweli kuwa na mtoto wa kike asiyejielewa kwa wakati huu ni kama vile umevaa bomu muda wowote linakulipukia
 
Wimbo tamu sana ,hata wewe umetoka pale kati
 
Huyu jamaa sasa anapotoka..is that music or ponoo?
 
Nani hapapendi pale kati? Ndoa yaweza vunjika kwa mmoja kunyimwa pale kati,hata mahari tunalipa kwa sababu ya pale kati,kwa hiyo ney kaimba aisee,pale kati si mchezo
 
Basata sio tcra kwani ni SIMU fake hiyo
 
Back
Top Bottom