TCRA fungieni pale kati ya Ney wa mitego haraka

ubaya wake nini?pale kati kwani wapi? panaweza kua katikati ya njia,gari nk!acha majingu babuuu
piga kazi!!
 
Walishajua kwamba wakitaka kupata attention inawabidi watoe video chafu ili wajadiliwe, sasa dawa yao ni kuwafungia kabisa kufanya shughuli za muziki. Kama hawakujifunza kupitia snura BASATA haina haja ya kuwaonya hawa wapuuzi, ni kuwafungia jumla tu. Wimbo wa snura ulipigwa marufuku lakini upo mitaani.
 
TCRA wanahusika vipi na masuala ya kufungia nyimbo za wasanii...kazi ya BASATA ni ipi??
basata wanaiomba TCRA waifungie sababu wao ndiyo wenye mamlaka kwenye mitandao huko,acha kwenda nje ya beat au Ney mume wako
 
Kwani waufungie wao hawajui kama pale kati patamu utamu wa pale kati ni balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…