TCRA fungieni pale kati ya Ney wa mitego haraka

Ney huwa ni mjinga wa kiwango chake japo mwenyewe huwa anajiona mwerevu sana, sijawahi kupenda wimbo wake hata mmoja
 
Hii ni moja ya picha za kava ya hiyo nyimbo kiukweli haijakaa poa kabisa!
Mhh! Hii hatari jamaa hakomi kila siku ni bifu na TCRA. Namshauri safari hii akatae kabisa kufungiwa au adhabu nyingine hadi pale wale wengine wooote walioadhibiwa naTCRA watakapo tii adhabu zao.
 
Kweli pale kati patamu,hadi tisiaraei wanapasikilizia kwanza.
 
Mbna kina gigy money akipiga za uchi hamuongei umbea tu pale kati patamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…