PostGE2025 TCRA: Hatukuzima intaneti Oktoba 29, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mlizimaaaaaa

ICC ina majina yenu

TCRA ni wasaliti siku zoote

Mtalipa tu
 
Hivi huyo mtoa maelezo ya @TRCA anajua wote ni vilaza kama yeye? Wapumbavu sana ,internet ilizimwa Oct 29 yote ,tarehe 30 wakawasha then ndiyo wakaanza kuruhusu IPs za mabanks na baadhi ya taasisi na waliruhusu IPs za services tu za kusomana na si za kuperuzi mitandaoni.
 
Huyu rioba anavuta bangi kwa hiyo huo utopolo waliourusha waliurushia wapi?Kama ulitishwa ungezima mitambo mkalale
 
Polisi nao watoke waseme hawakua Mtu yeyote, bali wale waliokufa walikuwa na magonjwa yao kama chanzo.

Anyway, Muliro alisema hakuna aliyekufa bali vile video/maiti ni AI
 
Na vyombo vya usalama vitoe tu kauli kuwa havikuua raia, raia walijigonga kwenye risasi za moto walizokuwa wanarusha🐼
 
TCRA inatakiwa wajumuishwe kama wauaji kwa sababu walizima mtandao kiasi kwamba wale wauaji walifika sehemu kuua na watu hawakujua na waliingia majumbani mwa watu kuchukua na kuua watu ila pangekuwa na mawasiliano watu wengi wangejulishana wasingekufa na hao polisi wahuni. Tunalishukuru sana Jeshi la Wananchi liliwaua hao polisi fake wengi ndiyo maana mauaji yalipungua. Tunalitaka jeshi liendelee kusimama kidete kuua kila askari anayeua raia
 
Gaslighting is a form of psychological manipulation where a person makes someone else question their own reality, memories, and sanity
 
Kila sehemu wanafanya kazi kwa maelekezo ya mshenzi mmoja, hii inaonyesha jinsi katiba mpya ilivyo muhimu kwa nchi yetu sasa, na tafadhari wadini na machawa hata nyie mtafaidika na vizazi vyenu vijavyo, tushirikiane tupate katiba mpya sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…