Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 61
- 91
Mamlaka ya Mwasiliano acheni ubabaishaji fanyeni malipo ya washiriki waliofika dodoma kwenye mkutano mkuu wa vyombo vya habari mliufanya Dodoma kitendo cha kutowalipa washiriki mpaka sasa toka siku ya tukio kumalizika ni jambo ajabu sana sio heshima wapo watu walitoka mbali wakatumia gharama zao kufika dodoma wakallala kwa pesa zao alf mpaka leo mnalet kero ya kuwapigia simu washiriki kwa maswali ya mitego kuwa umelipwa na mnakomaa watu wamepokea malipo huu sio uungwana taaisis ya serikali ambayo inausika kuthibiti wezi wa mitandaoni inashangaza kuwa na maafisa ambao wanatoa kauli za ajabu kama hizi za kukamaa kuwa umepokea pesa huu sio uungwana tcra lipeni washiriki haki yao hii dunia hakuna binaadam anataka kuptezewa muda au kuchezewa muda wake kukaa kwenye kikao kuanzia saa 2 mpaka saa 10 jioni sio jambo la kawaida