Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Habari zenu wanajukwaa.
Ninaomba hili suala limfikie mwenye dhamana na haya Mambo yanaboa Sana.
Unanunua kifurushi wanakupangia muda wa kutumia.
Mfano hapa nimeshajiunga sms za shs1500 kwa Airtel sms 9000. Shida mpaka napangiwa sms za kutuma kwa siku hivi kweli hii ni uungwana ama wao wanaangalia matumbo Yao. Huku wakifanya watanzania kuwa masikini jamani.
Mbona huwa nikinunua sukari dukani sipangiwi siku za kuitumia na kila siku ni kiasi gani nitumie.
Mbona kanuni ya biashara iko wazi ama tayari maji ya bendera wamekunya.