Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
Nina uhakika kuanzia Sheria za nchi na hata za Utangazaji hadi zenu nyie TCRA haziruhusu Kituo chochote kile cha Redio kupiga Wimbo ambao / Nyimbo ambazo ndani yake kuna Matusi makubwa makubwa yanatajwa hata kama hayatajwi kwa Lugha ya Kiswahili na yanatajwa kwa Lugha ya Kiingereza ambayo bahati nzuri Watanzania wengi sana Siku hizi si tu wanaijua bali wanaimudu pia.
TCRA Mzukulu ninawataarifu kuwa leo Jioni kati ya Saa 12 na dakika 31 hadi na dakika 33 Disk Joker ( DJ ) aitwae Delvic ( kama nimelikosea mnaolijua mtalirekebisha ) aliupiga Wimbo wa Kizungu ambao ndani ya huo Wimbo mara mbili nikalisikia Tusi Kubwa sana ashakum si Matusi la Mother Fucker na nikaanza Kujiuliza je, huyo DJ alikuwa amepitiwa au labda anatutukana Sisi Wasikilizaji wake?
Sijali kama Wasafi FM kama Media hadi Wapenzi ( Mashabiki ) Wao watanichukia Mzukulu kwa Kuwasema na Kuwasemea hivi kwa TCRA na Wadau hapa Jamvini JamiiForums, ila Mimi ni Muumini mkubwa wa Nidhamu na Maadili hivyo ni Matuamini yangu makubwa TCRA wataliangalia na Kulichunguza hili Kiundani kisha Sheria Kali zichukuliwe ili Kurekebisha Upuuzi huu.
Radio DJ makini wote wa huwa wanakuwa Makini mno katika Kucheza Nyimbo kwa Wasikilizaji Wao na siyo Kuruhusu Matusi ya Mother Fucker.