Mkuu unaweza kubandika hyo sauti ya huo wimbo???ID yako tu imetosha Kunithibitishia kuwa Uhalisia wako ndiyo huo huo kwani hata neno lao tu lenyewe la TCRA ni la Kizungu vile vile. Hopeless!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaweza kubandika hyo sauti ya huo wimbo???ID yako tu imetosha Kunithibitishia kuwa Uhalisia wako ndiyo huo huo kwani hata neno lao tu lenyewe la TCRA ni la Kizungu vile vile. Hopeless!!!!
Kwenye ile katuni ya AKILI inayorushwa na TIBISII Wani kuna kale kabinti ka kike ka Akili(samahani kama ndio jina lake halisi) kwenye gauni lake la upinde wa shingoni mbona ule upinde wa kuzunguka gauni lake zile rangi ni kama zile rangi za bendera ya LGBT???Mi sioni kama wamekosea. Maana TCRA & BASATA wapo kufungia nyimbo za ndani tu sio za nje. Ww umesikia huo tu je sisi tunao wekewa video za music kwenye vituo vyetu vya tv tena vya ndani ya nchi unakuta music video ina scene za ushogo, watu wapo uchi kama za lady Gaga, ila bado wapo kimya awazioni wakazifungia kupigwa nchini kisa tu ni msanii wa nje ama?
Kasome tena thread mwenye uzi amezungumzia nyimbo za kizungu zenye matusi ambazo zinapigwa kwenye vyombo vya bongo.Sasa wadau wanazungumzia Bongo , wewe unasema za mbele. Huko mbele wameshahalalisha mpaka ndoa za jinsia moja. Tatizo ni hapa Bongo.
Ndio maana nikasema tatizo ni Bongo, kwamba kweli ni ngoma za huko mbele inawezekana kwao ziko saaa, lakini kibongo haziko poa kuchezwa redioni bila kuhaririwa hayo jamaa anayosema ni matusi.Kasome tena thread mwenye uzi amezungumzia nyimbo za kizungu zenye matusi ambazo zinapigwa kwenye vyombo vya bongo.
"TCRA Mzukulu ninawataarifu kuwa leo Jioni kati ya Saa 12 na dakika 31 hadi na dakika 33 Disk Joker ( DJ ) aitwae Delvic ( kama nimelikosea mnaolijua mtalirekebisha ) aliupiga Wimbo wa Kizungu ambao ndani ya huo Wimbo mara mbili nikalisikia Tusi Kubwa sana ashakum si Matusi la Mother Fucker na nikaanza Kujiuliza je, huyo DJ alikuwa amepitiwa au labda anatutukana Sisi Wasikilizaji wake?"
Mkuu Kindly note that, ngoma moja kukubaliwa kupigwa hapa Marekani kusifanye hata huko bongo hizo ngoma zipigwe hata kama sheria na kanuniza nchi haziruhusu, kwa hyo kama hapa Atlanta G, ni sa01:56 basi hata huko pia kuwa ni sa01:56 mkuu??? Nadhani mleta uzi angewaandikia Tcra email kuwaataarifu hyo situation, Hapa marekani ushoga umehararishwa bahadhi ya majimbo na sio majimbo yote.Ndio maana nikasema tatizo ni Bongo, kwamba kweli ni ngoma za huko mbele inawezekana kwao ziko saaa, lakini kibongo haziko poa kuchezwa redioni bila kuhaririwa hayo jamaa anayosema ni matusi.
Ila bado wanauwezo wa kufungia vituo vya ndani kucheza nyimbo zilizo nje na mahadiri yetu ata kama niza nje kama china walivyo fungia vituo vyao kucheza nyimbo za lady gagaSasa wadau wanazungumzia Bongo , wewe unasema za mbele. Huko mbele wameshahalalisha mpaka ndoa za jinsia moja. Tatizo ni hapa Bongo.
Mimi nimevutiwa na hilo neno "kabinti ka kike".Kwenye ile katuni ya AKILI inayorushwa na TIBISII Wani kuna kale kabinti ka kike ka Akili(samahani kama ndio jina lake halisi) kwenye gauni lake la upinde wa shingoni mbona ule upinde wa kuzunguka gauni lake zile rangi ni kama zile rangi za bendera ya LGBT???
😀😀😀😀 Wahuni sio watu kabisa.Mimi nimevutiwa na hilo neno "kabinti ka kike".
Mimi naona kama wote tunaongea lugha moja hapa. Kwamba hizo nyimbo inawezekana ziko poa kuchezwa huko lakini kwa hapa Bongo ili kuzicheza redioni ni vyema zifanyiwe uhariri kuondoa/kuminya hayo maneno. Hilo la ushoga nimelileta kuonesha ule utofauti tu, kuwa wao wameruhusu ndoa za jinsia moja ila sisi huku hapana.Mkuu Kindly note that, ngoma moja kukubaliwa kupigwa hapa Marekani kusifanye hata huko bongo hizo ngoma zipigwe hata kama sheria na kanuniza nchi haziruhusu, kwa hyo kama hapa Atlanta G, ni sa01:56 basi hata huko pia kuwa ni sa01:56 mkuu??? Nadhani mleta uzi angewaandikia Tcra email kuwaataarifu hyo situation, Hapa marekani ushoga umehararishwa bahadhi ya majimbo na sio majimbo yote.
Hili hii situation isitokee na TISIARAEI wachukue hatua gani mkuu na huyu mleta mada tumwambie nn hii hyo taarifa iwafikie hao TISIARAEIMimi naona kama wote tunaongea lugha moja hapa. Kwamba hizo nyimbo inawezekana ziko poa kuchezwa huko lakini kwa hapa Bongo ili kuzicheza redioni ni vyema zifanyiwe uhariri kuondoa/kuminya hayo maneno. Hilo la ushoga nimelileta kuonesha ule utofauti tu, kuwa wao wameruhusu ndoa za jinsia moja ila sisi huku hapana.
Hapa una maana kuwa kwa sasa sheria imewaruhusu hawa wadau wa redio kupiga nyimbo zozote hata zenye lugha mbaya!? Yaani hakuna sheria inayowakataza!?Ila bado wanauwezo wa kufungia vituo vya ndani kucheza nyimbo zilizo nje na mahadiri yetu ata kama niza nje kama china walivyo fungia vituo vyao kucheza nyimbo za lady gaga
Kwani kwani kuna sheria mpya imetungwa tofauti na ile sheria ya awali???Hapa una maana kuwa kwa sasa sheria imewaruhusu hawa wadau wa redio kupiga nyimbo zozote hata zenye lugha mbaya!? Yaani hakuna sheria inayowakataza!?
Unashtaki kwenye genge la wahuni, usitegemee kitu.Nina uhakika kuanzia Sheria za nchi na hata za Utangazaji hadi zenu nyie TCRA haziruhusu Kituo chochote kile cha Redio kupiga Wimbo ambao / Nyimbo ambazo ndani yake kuna Matusi makubwa makubwa yanatajwa hata kama hayatajwi kwa Lugha ya Kiswahili na yanatajwa kwa Lugha ya Kiingereza ambayo bahati nzuri Watanzania wengi sana Siku hizi si tu wanaijua bali wanaimudu pia.
TCRA Mzukulu ninawataarifu kuwa leo Jioni kati ya Saa 12 na dakika 31 hadi na dakika 33 Disk Joker ( DJ ) aitwae Delvic ( kama nimelikosea mnaolijua mtalirekebisha ) aliupiga Wimbo wa Kizungu ambao ndani ya huo Wimbo mara mbili nikalisikia Tusi Kubwa sana ashakum si Matusi la Mother Fucker na nikaanza Kujiuliza je, huyo DJ alikuwa amepitiwa au labda anatutukana Sisi Wasikilizaji wake?
Sijali kama Wasafi FM kama Media hadi Wapenzi ( Mashabiki ) Wao watanichukia Mzukulu kwa Kuwasema na Kuwasemea hivi kwa TCRA na Wadau hapa Jamvini JamiiForums, ila Mimi ni Muumini mkubwa wa Nidhamu na Maadili hivyo ni Matuamini yangu makubwa TCRA wataliangalia na Kulichunguza hili Kiundani kisha Sheria Kali zichukuliwe ili Kurekebisha Upuuzi huu.
Radio DJ makini wote wa huwa wanakuwa Makini mno katika Kucheza Nyimbo kwa Wasikilizaji Wao na siyo Kuruhusu Matusi ya Mother Fucker.
Maneno kama haya ndo huaribu content nzima ya ulichokusudia kutueleza...Kamuulize aliyekubebea Mimba yako Miezi Kenda ya Kukuleta hapa Ulimwenguni atakuwa na Jawabu Mujarab kabisa la Kukujibu na zuri kuliko.
Naweza sema hvyo ndio maana wanazipiga ata za watanzania had pale watakapo ambiwa nyimbo flan imefungiwa ndio wanapo acha kuicheza kwenye vituo vyaoHapa una maana kuwa kwa sasa sheria imewaruhusu hawa wadau wa redio kupiga nyimbo zozote hata zenye lugha mbaya!? Yaani hakuna sheria inayowakataza!?