TCRA kama bado mna Meno yenu Makali natumaini hiki nilichokisikia leo kutoka Wasafi FM mtawaadhibu upesi

..ww ndo ilibidi ufungiwe na jf sbb ya lugha yako chafu n majibu yako machafu.....hichi kidume kizima kinakuja kushtaki kama demu aliyetongozwa..... umepanic enheee??.....
 
Wasafi hata wao wenyewe huimba matusi dhahiri
 
Kwa nn ni tusi?

Utasema taboos

Je mavaz hayo ya kisasa kwenye tv?

Unawataka wachukue hatua kwenye maneno je vitendo vya kujamiiana kwenye movies? Au si kosa?

Maudhui ni hoja pana na lazima ilenge hadhira

Kwako wewe si tusi isipokuwa watoto
 
Wewe umesikia redioni mimi nilimuona mtu amevaa fulana iliyoandikwa neno zaidi ya hilo, ukweli ni kuwa watanzania wengi siku hizi hawakijui kiingereza.
 
Motherfcuker,Bitch*s,N*ggas,Di*k,P*ssy,Ass,Sh*t,,,Yote hayo Clouds FM huwezi kuyaskia
 
Hao watu kama kufunguwia ni siku nyingi, matusi mbona kila siku yanaimbwa humo na watu wapo tu, DG yupo, waziri yupo, au BAKITA wapo tu au nakosea ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…