Mleta mada ni tatizo, anaahitaji dawa au miwani ya ubongo kama IPO.Huenda hata mleta hoja hajaelewa/hakuelewa nini kilichosemwa au kuandikwa.
Soma tena ulichokituma wewe then tujadili.View attachment 1356946
Kuna mambo mengi yA kusolve. .. Wao wanadeal na upumbavu.. .Nilishasema humu, kati ya taasisi zinazoongozwa na vilaza nchini ya kwanza ni TCRA, kuanzia ngazi za juu jamaa ni kilaza balaa hadi mtu wa mwisho anayefagia majengo yao. Those guys msitegemee watakuja na solutoins innovative hata siku moja, wanalipwa mshahara wameridhika basi. So stupid.
Wana kale ka tabia ka mtu anaamka anaenda ofisini na proposal, anauliiza kwani watu wanakua na line nyingi kwa sababu ipi hasa, si tufunge tu, wenzake wanasema "ndiyo" basi wanafunga, kiutani utani tu hivyo. Makalio kabisa
Kwa hiyo kuna zoezi kingine la kutufungia sie wenye laina zaidi maoja kwa mtandao mmoja.
Hii serikali kwa nini imewekeza sana kwenye kudhibiti mawasiliano ya wananchi wake.
Tuwe Kama China why Kama China ? Tukiwa Kama China then inasaidia nini?Iwe kama China huwezi kuwa na laini 2 bila sababu.
Pia tupewe namba za simu zinazodumu milele, tusiweze ibadilisha kamwe hata UFE
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaokomenti msilishwe maneno ya hovyo serikali ishalitolea ufafanuzi Jambo hili ni kuwa uwe na laini moja kwa mtandao mmoja.
Nyie ropokeni tu hapa kwa kumfuata mtoa mada mnaendekeza ukilaza haingii akili hata kama viongozi wetu wameishiwa utafakari huku ni sawa na kuwatukana viongozi na wengine mnashabikia kwa kitu si kweli!!!
Hili taifa lina wananchi bendera fata upepo.
Mwishowe watasema ukitaka kupiga simu nenda kwa mwenyekiti wa mtaa!Kwani nikiwa na line 3 Serikali inapoteza nini?
kiongozi mimi ninapoishi mtandao wa internet uliobora kabisa ni kampuni ya Voda.kwahiyo nina line mbili za kampuni ya Voda moja ninatumia kwenye kompyuta kununulia bando na moja naiweka kwenye simu kwa ajili ya kupiga na matumizi mengine.Mnaokomenti msilishwe maneno ya hovyo serikali ishalitolea ufafanuzi Jambo hili ni kuwa uwe na laini moja kwa mtandao mmoja.
Nyie ropokeni tu hapa kwa kumfuata mtoa mada mnaendekeza ukilaza haingii akili hata kama viongozi wetu wameishiwa utafakari huku ni sawa na kuwatukana viongozi na wengine mnashabikia kwa kitu si kweli!!!
Hili taifa lina wananchi bendera fata upepo.
Kuwa line moja kwenye kila mtandao lina tija gani ? kuna watu ambao shughuli zao za kila siku zinawafanya kuwa busy sana na kupokea simu nyingi hivyo ni uamuzi wake kuwa na idadi ya simcard anazotaka. Kama mtu anaweza miliki simu 3 hadi 4 unamzuia vipi asimiliki simcard anazohitaji ? Mtu anaweza miliki gari 6 za kutembelea ili mradi zimesajiliwa, itakuwaje simu card iwe mtihani ?Mnaokomenti msilishwe maneno ya hovyo serikali ishalitolea ufafanuzi Jambo hili ni kuwa uwe na laini moja kwa mtandao mmoja.
Nyie ropokeni tu hapa kwa kumfuata mtoa mada mnaendekeza ukilaza haingii akili hata kama viongozi wetu wameishiwa utafakari huku ni sawa na kuwatukana viongozi na wengine mnashabikia kwa kitu si kweli!!!
Hili taifa lina wananchi bendera fata upepo.
Wewe ni mjinga kweli kweli. Kwani viongozi wana jukumu la kufikiria na kuamua mahali pako wewe?Mnaokomenti msilishwe maneno ya hovyo serikali ishalitolea ufafanuzi Jambo hili ni kuwa uwe na laini moja kwa mtandao mmoja.
Nyie ropokeni tu hapa kwa kumfuata mtoa mada mnaendekeza ukilaza haingii akili hata kama viongozi wetu wameishiwa utafakari huku ni sawa na kuwatukana viongozi na wengine mnashabikia kwa kitu si kweli!!!
Hili taifa lina wananchi bendera fata upepo.
Acha uwongo nina rafki yangu yupo china ana lain mbili na zote zipo hewani tena ni mtanzaniaIwe kama China huwezi kuwa na laini 2 bila sababu.
Pia tupewe namba za simu zinazodumu milele, tusiweze ibadilisha kamwe hata UFE
Sent using Jamii Forums mobile app