stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Na kwa bahati mbaya sana wananchi hao "bendera fata upepo" wanaujua upepo mmoja tu wa CCM.
Hivi uliliwaza hilo ulipokuwa unaandika maneno hayo, maanake inaonekana wewe ni CCM damu damu!
Hebu jaribu kuwahimiza wananchi hao waache hiyo tabia ya kuwa "fata upepo" - ukiweza hilo, nitaungana nawe katika yote uliyoandika hapo juu.
labda tukuuliza unataka laini zaidi ya moja ili ufanyie nn kwenye hio laini ingine ambapo hio ingine imeshindwa kufanya?