Hata kwa mtandao mmoja bado ni uzwazwa kuwa na sheria hiiUlieleta habari na wewe hukuilewa ni laini moja kwa mtandao mmoja, na sio laini moja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwa mtandao mmoja bado ni uzwazwa kuwa na sheria hiiUlieleta habari na wewe hukuilewa ni laini moja kwa mtandao mmoja, na sio laini moja tu
Imeelezwa wazi,mwisho tarehe 30 June,baada ya Happ usigonje ufungiwe, deactivate mwenyewe au andaa fainiKwa hiyo kuna zoezi kingine la kutufungia sie wenye laina zaidi maoja kwa mtandao mmoja.
Hii serikali kwa nini imewekeza sana kwenye kudhibiti mawasiliano ya wananchi wake.
Huo usumbufu wote wa nini?Mleta uzi mpotoshaji
Kumiliki laini mbili mtandao mmoja inawezekana isipokuwa ukihitaji kumiliki zaidi ya mbili mtandao mmoja, kuna form unatakiwa kujaza sababu ya kuhitaji kumiliki laini zaidi ya mbili.
Ulieleta habari na wewe hukuilewa ni laini moja kwa mtandao mmoja, na sio laini moja tu
Huenda hata mleta hoja hajaelewa/hakuelewa nini kilichosemwa au kuandikwa.
Soma tena ulichokituma wewe then tujadili.View attachment 1356946
Yaani mie hapo nimeingiza na moderm zangu 4 za makampuni yote,Kabisa isee. Binafsi Nina line 4 za mtandao moja na zote nimesajili kwa alama za vidole.
1. Natumia mwenyewe
2. Iko nyumbani kwa mawasiliano na binti wa kazi lolote likitokea nipate taarifa kwa wakati.
3. Binti wa dukani kwenye kibiashara kangu.
4. Dogo wa shamba ambako ninafuga.
Line zote hizi nazihitaji kwa matumizi yangu tena ziko kwenye mtandao moja ili kupunguza gharama za mawasiliano.
Tusijenge nchi kwa pesa za dhuluma tafadhali.
Kanuni mpya za usajiri wa *Laini za Simu* za mwaka 2020 zimetangazwa kwenye Gazetti la Serikali la tarehe 7 February, 2020 kama Tangazo la *Serikali No. 112 la 2020*. Jina fupi (short title) la Kanuni hizo ni *the Electronic and Postal Communications (SIM Card Registration) Regulations, 2020*.
Baadhi ya maswala kadhaa ambayo yamejitokeza katika Kanuni za Usajiri wa Laini za Simu hizi mpya ni yafuatayo;
(1) Kwa sasa ni lazima kisheria kusajiri Laini ya Simu kwa alama za vidole.
(2) Usajiri wa Laini ya Simu kwa alama za vidole utafanywa kwa kutumia Kitambulisho cha Taifa kilichotolewa na NIDA au Namba ya Kitambulisho cha Taifa.
(3) Ni marufuku kwa mtu (binadamu) kusajiri *Laini ya Simu zaidi ya moja* (1) kwenye mtandao mmoja wa simu kwa ajiri ya matumizi ya kuwasiliana kwa njia meseaji, kuongea na data. Kwa mfano, ni marufuku kuwa na laini mbili au zaidi za Vodacom, unapaswa kuwa na laini moja tu ya vodacom.
(4) Mtu anaruhusiwa kumiliki laini za simu ambazo hazizidi *4* kwa matumizi ya vifaa au mashini za mawasiliano ya kieletroniki. Kwa mfano, kutumia laini ya simu kwenye modemu.
(5) Kampuni (mtu kisheria) inaruhusiwa kumiliki laini za simu ambazo hazizidi *30* kwa ajiri ya matumizi ya kuwasiliana kwa njia meseaji, kuongea na data.
(6) Kampuni (mtu kisheria) inaruhusiwa kumiliki laini za simu ambazo hazizidi *50* kwa matumizi ya vifaa au mashini za mawasiliano ya kieletroniki.
(7) Mtu ambaye anamiliki laini za simu mbili au zaidi za mtandao mmoja wa simu amepewa muda mpaka tarehe *30 June, 2020* kuchagua laini moja tu atakayotumia.
(8) Mtandao wa Simu unawajibika kuzima laini ya simu ambayo haijasajiriwa kwa njia ya alama za vidole.
(9) Kila laini ya simu lazima iwe na *PIN* ambayo lazima iwekwe kwenye simu au kifaa cha kieletroniki kila wakati simu au inapowashwa au inapobadilishwa.
(10) Laini ya Simu isipotumika kwa siku 90 mfululizo lazima ifungwe.
(11) Taarifa yoyote iliyowasilishwa kwenye mtandao wa simu ikibadilika lazima mmiliki wa laini ya simu atoe taarifa ndani ya siku 14 zikiesabika tokea siku ambayo mabadiliko hayo yametokea.
(12) Ukitokea wizi au upotevu wa laini ya simu lazima mmiliki wa laini ya simu atoe taarifa police.
(13) Ili mtu apewa laini mpya kutokana na upotevu au wizi lazima apeleke kwenye mtandao wa simu Loss Report au taarifa ya uchunguzi wa awali kutoka polisi.
(14) Mtu ambaye atakiuka masharti yoyote ya Kanuni za Usajiri wa Laini za Simu, 2020 atakuwa ametenda kosa la jinai na adhabu zake ni kifungo cha kuanzia mwaka 1 mpaka miaka 10 au fine kati ya Tsh 300, 000 mpaka Tshs 30 Million kulinga na kosa husika au vyote kwa pamoja kifungo na faini.

Kwa hiyo usajili wa alama za vidole haujakidhi matamania yao ya kudhibiti mawasiliano siyo.
Kwahiyo na wewe ni GT?Mnaokomenti msilishwe maneno ya hovyo serikali ishalitolea ufafanuzi Jambo hili ni kuwa uwe na laini moja kwa mtandao mmoja.
Nyie ropokeni tu hapa kwa kumfuata mtoa mada mnaendekeza ukilaza haingii akili hata kama viongozi wetu wameishiwa utafakari huku ni sawa na kuwatukana viongozi na wengine mnashabikia kwa kitu si kweli!!!
Hili taifa lina wananchi bendera fata upepo.
Acheni kupotosha watu kwa taarifa zisizo sahihi Kisha mnamsingizia ccm! We vyovyote utakavyoniona niNa kwa bahati mbaya sana wananchi hao "bendera fata upepo" wanaujua upepo mmoja tu wa CCM.
Hivi uliliwaza hilo ulipokuwa unaandika maneno hayo, maanake inaonekana wewe ni CCM damu damu!
Hebu jaribu kuwahimiza wananchi hao waache hiyo tabia ya kuwa "fata upepo" - ukiweza hilo, nitaungana nawe katika yote uliyoandika hapo juu.
Mkuu Mimi ni kenge wewe je..?Kwahiyo na wewe ni GT?
Je kama una modem na unataka utumie same provuder inabidi ufanyeje? Tumia ubongo zaidi kutafakali zaidi!
Nani kakuita wewe kenge? Mbona una Changanyikiwa,!Acheni kupotosha watu kwa taarifa zisizo sahihi Kisha mnamsingizia ccm! We vyovyote utakavyoniona ni
Mkuu Mimi ni kenge wewe je..?