TCRA: Kuna tatizo la Mfumo wa Mawasiliano ya Intaneti kwenye Mkongo wa Baharini

TCRA: Kuna tatizo la Mfumo wa Mawasiliano ya Intaneti kwenye Mkongo wa Baharini

Tumekwisha! Yaani kumbe hatuna backup ya internet?!

Bongo internet inaletetwa na marine fiber ambazo ISP wake kama sijakosea wapo watatu au wanne pekee...

Huenda kuna baadhi ya circuits za hao ISP zipo chini hivyo nchi imekuwa isolated...
 
Hawa tangu wasikie ile nchi internet ilizingua chini ya bahari na wenyewe wameiga waxenge tu . Tangu mwaka 2014 sijawahi kusikia hii kitu internet ikakata kama umeme.. hii ndio Tanzania 🇹🇿 Elon musk kaja na Mi dollar yake anataka awasaidie maskini mnajikuta hamtaki msaada ili muendelee kuwapiga wananchi.
Mtu anakuja na satellite internet nyie hamtaki mnataka ya chini ya bahari haya pambaneni sasa na msiombe msaada nje
 
Utaweza kulipia internet ya Elon musk au umeandika tu na wewe uonekane upo?
Kwa subscription ya around 130k kwa mwezi wengi wataweza kulingana na kazi wanazofanya wala usimdharau.

Ni Kama barabarani tu kuna mwenye uwezo wa IST, Kuna mwenye Range, Kuna mwenye baiskeli. Hivyo wa kuweza wapo na huenda akawa mmoja wao
 
Ni vile urasimu umekuwa mkubwa ila internet ya Elon musk ni muhimu sana kwa nyakati zetu.
Kuna watu bongo wanatumia tayari starlink walikataa muda tu kukumbatia ushenzi wa Nepi na udalali wake kwa makampuni ya simu.

Uthibitisho wa kuingia tayari kwa vifaa na matumizi ni ile siku yule jamaa alipoanza kuvifanyia matangazo PoliCCM wakamkamata.

Hivyo kuna watu wanaenjoy internet yenye kasi bila bugudha.
 
Kwa subscription ya around 130k kwa mwezi wengi wataweza kulingana na kazi wanazofanya wala usimdharau.

Ni Kama barabarani tu kuna mwenye uwezo wa IST, Kuna mwenye Range, Kuna mwenye baiskeli. Hivyo wa kuweza wapo na huenda akawa mmoja wao
jamaa kakosoa kama yeye ndio mpanga bei wa elon yaani jf kuna wajuaji wa kijinga sana asee...... kisa yupi jf na ni maskini basi anaona kila mtu maskini au hajiwezi kama yeye🤣🤣🤣
 
jamaa kakosoa kama yeye ndio mpanga bei wa elon yaani jf kuna wajuaji wa kijinga sana asee...... kisa yupi jf na ni maskini basi anaona kila mtu maskini au hajiwezi kama yeye🤣🤣🤣
Kwa speed na ilivyo unlimited na kwa bei hiyo wengi wanamudu vizuri tu
Huyu inaelekea asingekubali hata CMC walete Range sababu kuna watu hawatamudu bei, bila kujua kuna wengi tu wanaweza kumudu hiyo bei
 
Back
Top Bottom