TCRA: Kuna tatizo la Mfumo wa Mawasiliano ya Intaneti kwenye Mkongo wa Baharini

Ni vile urasimu umekuwa mkubwa ila internet ya Elon musk ni muhimu sana kwa nyakati zetu.
Kwani hiyo ya Elon Mask ina uhakika kwa asilimia ngapi
Shida zinazotokea baharini ziko zinazofanana nazo huko hewani.
 
Kwa usalama wa Taifa, ukosefu wa mtandao kwa robo saa ni national security concern.
TCRA wajikiye kutafuta an alternative data conveyance 24/7.
 
Kwa subscription ya around 130k kwa mwezi wengi wataweza kulingana na kazi wanazofanya wala usimdharau.

Ni Kama barabarani tu kuna mwenye uwezo wa IST, Kuna mwenye Range, Kuna mwenye baiskeli. Hivyo wa kuweza wapo na huenda akawa mmoja wao
Wewe pia ninakudharau. Kwanini ulipie internet ya 130k kwa mwezi kwa matumizi yako binafsi? Au unatafuta hela ili umpe Elon Musk?
 
Dah leo siku mbaya kwa sisi tuotegemea mtandao ndio tuishi ni hasara tu.
 
Dah leo siku mbaya kwa sisi tuotegemea mtandao ndio tuishi ni hasara tu.
Ndio mnatakiwa muone umuhimu wa kuwa na waziri proactive sio vuvuzela wa kumsifia Samia kila siku na asiyejua lolote kuhusu mambo ya ICT amepewa wizara iliyomzidi kila kitu.

Hapo inatakiwa watu wajue refund policy za hayo makampuni ikitokea defect na fidia zipi watacover maana kama watu watakaa masaa 5 bila mtandao kwa zama hizi hasara ni kiasi gani ?
 
Shida hapa ni 10% ukiongeza na vijiposho wanavyopewa ni haya makampuni ya ndani yanayohofia kukimbiwa na wateja!
 
Naona Tanzania wanachoweza na serikali ya CCM ni wizi wa kura na hili ndio zoezi pekee linalofanyika kwa umakini na kwa ufasaha zaidi .
Ni wapuuzi sana hawa jamaa aisee. Mambo ya msingi wanakausha as if hayawahusu ila upumbavu wanafuatilia hadi basi. Their days are numbered, they Will pay for every single mistake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…