TCRA kuufungia wimbo "Amkeni" wa Ney wa Mitego na kuacha nyimbo za matusi ni uchawa, kujipendekeza na unafiki

TCRA kuufungia wimbo "Amkeni" wa Ney wa Mitego na kuacha nyimbo za matusi ni uchawa, kujipendekeza na unafiki

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
TCRA acheni kutumika vibaya. Mmeufungia wimbo wa Ney Wamitego "Amkeni" kwasababu tu umemparura aliyewateua lkn mmeacha nyimbo kibao za matusi zkiendelee kwenda hewani.

.....sijui kutongoza....
.....ikiiingia inateleza..
....paka mate niteleze..
.....nampatia sukari ananambia ongeza..
n.k, n.k.

Kama kweli mpo hapo kwa ajili ya kulinda maadili ya taifa hili basi 80% ya nyimbo za wasanii wa bongo fleva mngezifungia.

Lkn mko hapo kumfurahisha aliyewateua tu. Hivyo mnajikomba, mnajipendekeza na mnafanya unafiki wa kufungua nyimbo zinazompa ukweli aliyewapa ugali.

Ujinga mtupu! Shit hole country Tanzania. Bora kuzaliwa mbwa Ulaya.
 
Naunga mkono hoja ✔️. Haiwezekan kila kona unasikia nyimbo mara, nisafishe mtaro, mara katoto kachafu kama bata namm nakalamba, mara ukipata bwana wa kizungu mpe kwa mpalange! Ukitafakar vzr hawa watu cjui vigezo vyao ni vipi!
 
Mama hana anachofanya. Badala ya kuweka ruzuku kwenye mafuta yeye anatenga bilioni 125 za kuwapatia polisi silaha ili wasaidie wizi wa kura 2024. Pathetic!
Wapi kasema ni kwa ajili ya wizi wa kura?
Nyie nyie mnaolalamika hivi mkivamiwa na kibaka tu mnaanza kulaani polisi wako wapi
 
Ukitaka kufaidi hii nchi kuwa mjinga mjinga, fanya mambo ya kijinga jinga hapo wana CCM watakuona mtu wa maana sana na asset katika shughuli zao mbali mbali, ila ukiingiza neno akili katika shughuli zako ama kushawishi watu watafakari juu ya jambo fulani hapo moja kwa moja unakuwa adui namba moja wa CCM, mambo serious na yenye akili waachie dipi wedi. Mama Samia hoyee!
 
Pia Hawa ndio inabidi wawe wa kwanza kulalamikiwa Kwa kuruhusu kubomoa maadili ya Mtanzania hasa kwenye suala la Ushoga. Kwa kipindi kirefu wameacha tamthilia zenye maadili ya ushoga wa waziwazi kuoneshwa kwenye runinga za TZ, kula Siku humu utakuta Uzi unalalamikia maswala ya upinde na kulaumu jamii wakati muhusika ni hii mamlaka.

Waamke basi siyo kukomaa na mambo ya kichwa tu.
 
Naunga mkono hoja ✔️. Haiwezekan kila kona unasikia nyimbo mara, nisafishe mtaro, mara katoto kachafu kama bata namm nakalamba, mara ukipata bwana wa kizungu mpe kwa mpalange! Ukitafakar vzr hawa watu cjui vigezo vyao ni vipi!
😅😅😅
 
Nakumbuka kipindi cha nyuma waliifungiaga nyimbo ya "Temba ft dully kama sikosei NAMPENDA YEYE wakasema ina matusi sjui walitaskia wapi, wakaja wakaifungia MITUNGI ya marehemu gwair sjui East Coast wale walikuwa, na yenyewe wakasema ina matusi, nyimbo zinazoimbwa saivi na wasanii ni matusi matupu yaan huwezi sikiliza au kuziangalia uko na familia ila wao hawazioni, Nay wa mitego anatema madini serikali irekebishe inapokosea eti wanamfungia na show kazuiliwa kufanya maandalizi ameyafanya mwezi mzima afu ghafla wanamwambia hakuna show kufanyika na Central akaitwa dah
 
Imefikia mahali shule zinafundidha types of families kuna
-SAME SEXY FAMILY
Serikali haijawai kuona huo upumbavu ila inaona makosa ya kwenye amkeni. Mi mwenyewe nawaza ni lini Mungu atawakumbuka na hawa aende nao hukoooo kusikojulikana
 
Back
Top Bottom