Mama hana anachofanya. Badala ya kuweka ruzuku kwenye mafuta yeye anatenga bilioni 125 za kuwapatia polisi silaha ili wasaidie wizi wa kura 2024. Pathetic!Muacheni mama afanye kazi
Wapi kasema ni kwa ajili ya wizi wa kura?Mama hana anachofanya. Badala ya kuweka ruzuku kwenye mafuta yeye anatenga bilioni 125 za kuwapatia polisi silaha ili wasaidie wizi wa kura 2024. Pathetic!
Sikiliza hotuba yake akiwahutubia polisi juzi. Halafu uje hapa tujadiliWapi kasema ni kwa ajili ya wizi wa kura?
Polisi wa wapi ajuza wewe??Wapi kasema ni kwa ajili ya wizi wa kura?
Nyie nyie mnaolalamika hivi mkivamiwa na kibaka tu mnaanza kulaani polisi wako wapi
Hoja na maandishi yako ni matope kama jina lako. Sikujibu tenaPolisi wa wapi ajuza wewe??
π π πNaunga mkono hoja βοΈ. Haiwezekan kila kona unasikia nyimbo mara, nisafishe mtaro, mara katoto kachafu kama bata namm nakalamba, mara ukipata bwana wa kizungu mpe kwa mpalange! Ukitafakar vzr hawa watu cjui vigezo vyao ni vipi!
Kwan we uko wap?Polisi wa wapi ajuza wewe??
We kweli chalk!! Matter call kabisaa!! Kwani uliulizwa wewe??Hoja na maandishi yako ni matope kama jina lako. Sikujibu tena
Izimbya Bukoba vijijiniKwan we uko wap?