TCRA kuufungia wimbo "Amkeni" wa Ney wa Mitego na kuacha nyimbo za matusi ni uchawa, kujipendekeza na unafiki

Umegonga pale pale panapo uma. Hakuna cha kuongeza au kupunguza. Miziki mingi ya Bongo fleva ni ' pornograghic music' instead of Love music
 
Nchi hii inaongozwa na taasisi zilizowekwa viongozi wasiojitambua bali kutumika na wateuzi huku wakigeuzwa kama chapati.
Tunayo hasara kubwa sana!
 
Kuna nyimbo wanaimba "Kulaanina" nyengine "Madako yako"

Hizi ni swearing sounding words, badala ya kusema "Kumaanina" anabadili herufi moja na kutamka "Kulaanina" nyimbo inaendelea kupigwa hewani mamlaka zipo na zinaelewa na kusikia kinachoimbwa.


Neno "Madako" ina sound kama "Matako" actually ndicho alicholenga huyo mwimbaji ila mamlaka ziko kimya kabisa hazihangaiki na hao wasanii kabisa. Ila ukimchana Bi. Mkora kabla jogoo hajawika lazma uwe central.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…