TCRA mebariki Tangazo linalorushwa Clouds FM lenye Sauti iliyoigizwa ya Dkt. Kikwete ikisema "Tukutane kwa Mpalange Kumenoga?"

Huko sahihi kabisa Gentamycine. Kama neno hilo kwa baadhi ya WaTanzania wanalielewa tofauti na ni HASI basi TCRA na CLOUDS wenyewe watafute njia nyingine sio kutumia sauti ya Mh JK.
 
Hizi ndio athari za
1. Makazi holela
2. Umaskin uliokithiri

UPUUZI MTUPUUUUU
 
Ila wewe mzee, hawa wapuuzi wakati mwingine ukiwajibu na wewe unaonekana ni mpumbavuu kama wao tuu
 
Jamani hata kama hilo eneo lipo lakini kwa sasa neno kwa "mpalange" ndo linatumika kama watu kufanya ngono kinyume na maumbile,,mtoa post yuko sahihi hata wadada poa wanafanyiwa mahojiano tunawasikia wanasema kwa "mpalange" ni kuzuri na wanapapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…