TCRA, mmeshakuwa irrelevant

Tuliaaaaaa.

Na bado, tuko kwenye vita ya uchumi na mabeberuuuuu
 
Ukiambiwa hizi nchi zetu ni masikini usifikiri ni masikini wa mali na rasilimali bali tuna umasikini wa akili.Sasa ukishakosa akili huwezi kua na ustaarabu na kuheshimiana.Ndo maana unaona uku kwetu ata ushindani tu wa mawazo ambao uko kisheria tunaufanya kama ugomvi na uadui.Kwahiyo tunasafari ndefu sana kufikia level za wenzetu.
 
Yeye anaamini katika ujima na ujamaa, ngoja arudishe vijiji vya ujamaa, unakamatwa unapelekwa kitaya ukalime mbaazi na kufuga kondoo.
Nyinyi si ndiyo mlikuwa watetezi wa Mitano tena?
 
Nyinyi si ndiyo mlikuwa watetezi wa Mitano tena?
Hatuwezi tukaacha madini yetu yawekwe rehani kwa mabeberu, mitano tena inafaa zaidi hii nchi ilichezewa sana.

Acha tufe kwa njaa na sonona ili vizazi vitakavyokuja vinufaike na maliasili zetu.

Tena akimaliza tunamlazimisha kupewa mingine kumi.
 
Basi polisi hao wanaotumwa kwenda kupiga au kuua watu kinyume cha sheria hawajitambui.

Kama unajitambua huwezi kutumwa kwenda kufanya uhalifu na wewe ukafanya.
Hiyo kitu inaitwa conscience, nafsi kujitambua.
Kufanya jema au baya inategemea mtu unavyo itawala nafsi.
Wengine nafsi haiwasuti hata wakifanya baya.
 
Yeye anaamini katika ujima na ujamaa, ngoja arudishe vijiji vya ujamaa, unakamatwa unapelekwa kitaya ukalime mbaazi na kufuga kondoo.
Ujamaa in principle haujawahi kuwa mbaya.
Mi nauunga mkono kwa vile watu wanaheshimiana na wanakuwa sawa.
Tatizo ni uminywaji wa hakiza kimsingi ambazo ziko hata kwenye katiba.
Kujenga uchumi ili kunufaisha wengi bado ni jambo la msingi sana.
 
Kwa kweli wenzetu wako mbali ona wafuasi WA Trump wanavyotoa nyongo zao na Askari wanawalinda, hata kama umeshindwa unaruhusiwa kusema yaliyo mioyoni mwako na Katiba inakulinda Kura mil 70 ni nyingi huwezi kumzuia MTU kuonyesha hisia Zake. Hapa kwetu / Africa viongozi ndio wanaona muda WA kuua watu wao umefika maana wamepata kisingizio, maandamano yasiyo na kibali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…