Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kinachonishangza ni Mtu mmoja kudhani Watanzania wote ni Wajinga sana.Ni bahati mbaya sana kuwa na watawala wanaotaka wananchi wawe wajinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachonishangza ni Mtu mmoja kudhani Watanzania wote ni Wajinga sana.Ni bahati mbaya sana kuwa na watawala wanaotaka wananchi wawe wajinga.
Tuliaaaaaa.Katika dunia hii ya teknolojia, alternatives to communication zinajitokeza kila uchao.
Kwa sababu za kisiasa tu TCRA imeamua kuminya upatikanaji na upashanaji wa habari kwa waTanzania.
Hili ni kosa la kimsingi, kwa sababu yoyote ile.
Teknolojia hailali, watu wamekwisha anza kutumia njia mbadala kuwasiliana.
TCRA imezifunga njia za upashanaji inazozifahau, lakini si zile njia mbadala.
Mbaya zaidi hata ufanyaji kazi wa kibiashara kama e-banking, e-TRA na hata e-government kwa kiasi fulani imeathirika.
TCRA mwisho wa siku itakuwa irrelevant maana litakuwepo lakini si kwa ajili ya huduma kwa wananchi.
Hata kuku sijawahi kuchinja!Wewe ukitumwa kwenda kuua utaenda ?
Ukiambiwa hizi nchi zetu ni masikini usifikiri ni masikini wa mali na rasilimali bali tuna umasikini wa akili.Sasa ukishakosa akili huwezi kua na ustaarabu na kuheshimiana.Ndo maana unaona uku kwetu ata ushindani tu wa mawazo ambao uko kisheria tunaufanya kama ugomvi na uadui.Kwahiyo tunasafari ndefu sana kufikia level za wenzetu.Kwa kweli wenzetu wameendelea Jana niliona mchakato WA kutangaza Kura kwenye Jimbo lililompa Biden Point 16 washabiki wako nje ya jengo la kutangazia wametenganishwa WA Trump huku wanafoka kinyama, WA Biden huku wanashangilia katikati polisi na waandishi. Kila MTU ana Uhuru WA kufanya apendacho na Askari Yupo anawalinda wasiparurane. Huku kwetu majanga Kwa kweli Sisi ni shit... Country.
HahahahahahahaSuti utafikiri sare za wale wanaobeba jeneza!
Yes ni wajinga ndiyo maana hawachukui hatua yoyote dhidi yake.Kinachonishangza ni Mtu mmoja kudhani Watanzania wote ni Wajinga sana.
Inawezekana lakini mimi , Hapana.Yes ni wajinga ndiyo maana hawachukui hatua yoyote dhidi yake.
Basi polisi hao wanaotumwa kwenda kupiga au kuua watu kinyume cha sheria hawajitambui.Hata kuku sijawahi kuchinja!
Umechukua hatua gani ?Inawezekana lakini mimi , Hapana.
Nyinyi si ndiyo mlikuwa watetezi wa Mitano tena?Yeye anaamini katika ujima na ujamaa, ngoja arudishe vijiji vya ujamaa, unakamatwa unapelekwa kitaya ukalime mbaazi na kufuga kondoo.
Hatuwezi tukaacha madini yetu yawekwe rehani kwa mabeberu, mitano tena inafaa zaidi hii nchi ilichezewa sana.Nyinyi si ndiyo mlikuwa watetezi wa Mitano tena?
Hiyo kitu inaitwa conscience, nafsi kujitambua.Basi polisi hao wanaotumwa kwenda kupiga au kuua watu kinyume cha sheria hawajitambui.
Kama unajitambua huwezi kutumwa kwenda kufanya uhalifu na wewe ukafanya.
Ujamaa in principle haujawahi kuwa mbaya.Yeye anaamini katika ujima na ujamaa, ngoja arudishe vijiji vya ujamaa, unakamatwa unapelekwa kitaya ukalime mbaazi na kufuga kondoo.
Kwa kweli wenzetu wako mbali ona wafuasi WA Trump wanavyotoa nyongo zao na Askari wanawalinda, hata kama umeshindwa unaruhusiwa kusema yaliyo mioyoni mwako na Katiba inakulinda Kura mil 70 ni nyingi huwezi kumzuia MTU kuonyesha hisia Zake. Hapa kwetu / Africa viongozi ndio wanaona muda WA kuua watu wao umefika maana wamepata kisingizio, maandamano yasiyo na kibali.Ukiambiwa hizi nchi zetu ni masikini usifikiri ni masikini wa mali na rasilimali bali tuna umasikini wa akili.Sasa ukishakosa akili huwezi kua na ustaarabu na kuheshimiana.Ndo maana unaona uku kwetu ata ushindani tu wa mawazo ambao uko kisheria tunaufanya kama ugomvi na uadui.Kwahiyo tunasafari ndefu sana kufikia level za wenzetu.