TCRA, mmeshakuwa irrelevant

TCRA, mmeshakuwa irrelevant

Katika dunia hii ya teknolojia, alternatives to communication zinajitokeza kila uchao.
Kwa sababu za kisiasa tu TCRA imeamua kuminya upatikanaji na upashanaji wa habari kwa waTanzania.
Hili ni kosa la kimsingi, kwa sababu yoyote ile.

Teknolojia hailali, watu wamekwisha anza kutumia njia mbadala kuwasiliana.
TCRA imezifunga njia za upashanaji inazozifahau, lakini si zile njia mbadala.
Mbaya zaidi hata ufanyaji kazi wa kibiashara kama e-banking, e-TRA na hata e-government kwa kiasi fulani imeathirika.

TCRA mwisho wa siku itakuwa irrelevant maana litakuwepo lakini si kwa ajili ya huduma kwa wananchi.
Tuliaaaaaa.

Na bado, tuko kwenye vita ya uchumi na mabeberuuuuu
 
Kwa kweli wenzetu wameendelea Jana niliona mchakato WA kutangaza Kura kwenye Jimbo lililompa Biden Point 16 washabiki wako nje ya jengo la kutangazia wametenganishwa WA Trump huku wanafoka kinyama, WA Biden huku wanashangilia katikati polisi na waandishi. Kila MTU ana Uhuru WA kufanya apendacho na Askari Yupo anawalinda wasiparurane. Huku kwetu majanga Kwa kweli Sisi ni shit... Country.
Ukiambiwa hizi nchi zetu ni masikini usifikiri ni masikini wa mali na rasilimali bali tuna umasikini wa akili.Sasa ukishakosa akili huwezi kua na ustaarabu na kuheshimiana.Ndo maana unaona uku kwetu ata ushindani tu wa mawazo ambao uko kisheria tunaufanya kama ugomvi na uadui.Kwahiyo tunasafari ndefu sana kufikia level za wenzetu.
 
Yeye anaamini katika ujima na ujamaa, ngoja arudishe vijiji vya ujamaa, unakamatwa unapelekwa kitaya ukalime mbaazi na kufuga kondoo.
Nyinyi si ndiyo mlikuwa watetezi wa Mitano tena?
 
Nyinyi si ndiyo mlikuwa watetezi wa Mitano tena?
Hatuwezi tukaacha madini yetu yawekwe rehani kwa mabeberu, mitano tena inafaa zaidi hii nchi ilichezewa sana.

Acha tufe kwa njaa na sonona ili vizazi vitakavyokuja vinufaike na maliasili zetu.

Tena akimaliza tunamlazimisha kupewa mingine kumi.
 
Basi polisi hao wanaotumwa kwenda kupiga au kuua watu kinyume cha sheria hawajitambui.

Kama unajitambua huwezi kutumwa kwenda kufanya uhalifu na wewe ukafanya.
Hiyo kitu inaitwa conscience, nafsi kujitambua.
Kufanya jema au baya inategemea mtu unavyo itawala nafsi.
Wengine nafsi haiwasuti hata wakifanya baya.
 
Yeye anaamini katika ujima na ujamaa, ngoja arudishe vijiji vya ujamaa, unakamatwa unapelekwa kitaya ukalime mbaazi na kufuga kondoo.
Ujamaa in principle haujawahi kuwa mbaya.
Mi nauunga mkono kwa vile watu wanaheshimiana na wanakuwa sawa.
Tatizo ni uminywaji wa hakiza kimsingi ambazo ziko hata kwenye katiba.
Kujenga uchumi ili kunufaisha wengi bado ni jambo la msingi sana.
 
Ukiambiwa hizi nchi zetu ni masikini usifikiri ni masikini wa mali na rasilimali bali tuna umasikini wa akili.Sasa ukishakosa akili huwezi kua na ustaarabu na kuheshimiana.Ndo maana unaona uku kwetu ata ushindani tu wa mawazo ambao uko kisheria tunaufanya kama ugomvi na uadui.Kwahiyo tunasafari ndefu sana kufikia level za wenzetu.
Kwa kweli wenzetu wako mbali ona wafuasi WA Trump wanavyotoa nyongo zao na Askari wanawalinda, hata kama umeshindwa unaruhusiwa kusema yaliyo mioyoni mwako na Katiba inakulinda Kura mil 70 ni nyingi huwezi kumzuia MTU kuonyesha hisia Zake. Hapa kwetu / Africa viongozi ndio wanaona muda WA kuua watu wao umefika maana wamepata kisingizio, maandamano yasiyo na kibali.
 
Back
Top Bottom