mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Hamna namnaMeneja wa Huduma za Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Andrew Kisaka amesema kuwa ikiwa mwandishi wa habari anataka kugombea nafasi ya uongozi kwenye siasa anapaswa kuacha kazi, na ikatokea hakuchaguliwa, anaweza kurejea tena kwenye kazi yake ya uandishi kwa mujibu wa taratibu za mwajiri wake wa awali.
Pia soma > Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao?
Ni matapeli tupuWanasemaga hivyo hivyo, waongo hawa Jamaa
Hii iende hadi kwa Mawakili. HAIWEZEKANI mtu aende mahakamani kama Afisa wa Mahakama Kuu, halafu eti ni Kiongozi wa Chama cha Siasa. Si sawa kabisa!Meneja wa Huduma za Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Andrew Kisaka amesema kuwa ikiwa mwandishi wa habari anataka kugombea nafasi ya uongozi kwenye siasa anapaswa kuacha kazi, na ikatokea hakuchaguliwa, anaweza kurejea tena kwenye kazi yake ya uandishi kwa mujibu wa taratibu za mwajiri wake wa awali.
Pia soma > Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao?
Mpaka katibu mkuu, haiwezekani awe katibu mkuu halafu awe kiongoziHii iende hadi kwa Mawakili. HAIWEZEKANI mtu aende mahakamani kama Afisa wa Mahakama Kuu, halafu eti ni Kiongozi wa Chama cha Siasa. Si sawa kabisa!
Labda hapakuwa na TCRAWale waliogombea mwaka 2020 akiwemo mwandishi wa Azam Baruani Muhuza aliyegombea Kigoma mjini walichukuliwa hatua gani?
TuliaHii iende hadi kwa Mawakili. HAIWEZEKANI mtu aende mahakamani kama Afisa wa Mahakama Kuu, halafu eti ni Kiongozi wa Chama cha Siasa. Si sawa kabisa!
Netapussy una matatizo we dogoTCRA wenyewe ni makada wa UVCCM
Netapussy appears to be a term that might not have widespread recognition or a standard definition. It could refer to a specific software, project, or concept, but without more context, it's challenging to provide a precise explanation.Netapussy una matatizo we dogo
Hawa ni hovyo! Sasa mwijaku atagombea nini?Usanii tupu
Ni jau snHawa ni hovyo! Sasa mwijaku atagombea nini?
Hizo taratibu mtawawekea watu wasiojitambua tu kama hao waandishi wa habari na walimu.Hii iende hadi kwa Mawakili. HAIWEZEKANI mtu aende mahakamani kama Afisa wa Mahakama Kuu, halafu eti ni Kiongozi wa Chama cha Siasa. Si sawa kabisa!