Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Hao ni wajinga mkuu! Cha ajabu sms za betting wanazifurahia kweli kweli.
Na hizo ndiyo nyingi kweli kweli ukichanganya na zile wa wale 'Matapeli' lakini cha Kushangaza wala huwa hawalalamiki huko TCRA. Ni Wanafiki tu.
 
Kila mwaka wanafanya hivo...dawa ni kulalamika kwenye vyombo vya haki kama mahakama.TCRA hawatakuwa na msaada wowote...

there is nothing you can do, na hakuna sheria wamevunja apo! yaaan wiki ijayo ndo filimbi ya mwisho
 

kampuni zote za simu znaiskiliza serikali, ukiona jau acha kutumia simu
 
Ukireplay zinaenda kwa Magufuli?

Alafu mbona mnakuwa wajinga? Kwani hii nchi kumbe Lisu tu ndio mwenye wafuasi ila Magu
Hao aliowatuma si ndio wangeona na taarifa zingemfikia.
Alafu mjinga ni mama yako aliyekulea
 
Utayaona majitu yanayopokea buku 7 yanavyotetea ujinga,mwisho wenu tarehe 28
 
Natamani wote waliotumiwa hizo jumbe walalamike kwenye kampuni husika.huu mchezo umechezwa na tume ya uchaguzi pia.Wao pia wanadatabse ya wapiga kura yenye namba za simu pia.

unaongea kitu hukijui, hizo znaitwa A2P, na znatumwa na mtu yoyote but you cant reply it, alafu kingine wala hakuna mtu ana shida na database kwa sababu wanaocontrol code ya 255 sio watanzania na wao ndo wanahakikisha namba hazijirudii dunia nzima,

namba yako hata wale wa tuma kwenye hii namba wanaipata, dont feel unique
 
Huu mchezo hawajaanza Leo, Vodacom na Airtel ndo zao. Wamempa access JPM ya database za wateja wao.

Natamani watu waende mahakamani kwa hili ili haya makampuni yalipishwe fidia ya kutosha.

Kesi ya mbuzi hakimu fisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…