Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Hao ni wajinga mkuu! Cha ajabu sms za betting wanazifurahia kweli kweli.
Na hizo ndiyo nyingi kweli kweli ukichanganya na zile wa wale 'Matapeli' lakini cha Kushangaza wala huwa hawalalamiki huko TCRA. Ni Wanafiki tu.
 
Kila mwaka wanafanya hivo...dawa ni kulalamika kwenye vyombo vya haki kama mahakama.TCRA hawatakuwa na msaada wowote...

there is nothing you can do, na hakuna sheria wamevunja apo! yaaan wiki ijayo ndo filimbi ya mwisho
 
Yani unachukua taarifa zangu halafu unampa mtu mwingine huoni kama huo ni upuuzi?

Hizo T & C's zipo kwa ajili ya mteja na kampuni ya simu, unapompa third party taarifa zangu hiyo ruhusa umeipata kwa nani? wanasema unapokuwa umewapa idhini wabia wao wanaweza kutoa taarifa zako, sasa ni nani amewapa Vodacom Tanzania idhini ya kutoa taarifa zangu kwa CCM (wabia wao) wakati mimi mtumiaji sijawapa hiyo idhini?

Hao Vodavom ndio maana wakati fulani watu walitupa line zao, kwasababu ndio wa kwanza kujipendekeza kwa CCM.

kampuni zote za simu znaiskiliza serikali, ukiona jau acha kutumia simu
 
Ukireplay zinaenda kwa Magufuli?

Alafu mbona mnakuwa wajinga? Kwani hii nchi kumbe Lisu tu ndio mwenye wafuasi ila Magu
Hao aliowatuma si ndio wangeona na taarifa zingemfikia.
Alafu mjinga ni mama yako aliyekulea
 
Natamani wote waliotumiwa hizo jumbe walalamike kwenye kampuni husika.huu mchezo umechezwa na tume ya uchaguzi pia.Wao pia wanadatabse ya wapiga kura yenye namba za simu pia.

unaongea kitu hukijui, hizo znaitwa A2P, na znatumwa na mtu yoyote but you cant reply it, alafu kingine wala hakuna mtu ana shida na database kwa sababu wanaocontrol code ya 255 sio watanzania na wao ndo wanahakikisha namba hazijirudii dunia nzima,

namba yako hata wale wa tuma kwenye hii namba wanaipata, dont feel unique
 
Back
Top Bottom