Naifua tena na Aerialkuna ingine inakuja
Swali la kipumbavu kabisa, hizo companies zitatuma tu msg bila sababu yoyote? Wametuma under indue influence ya CCM. Toa kamasi kichwani, CCM ni chama kitakufa kifo cha mende kitakuacha na empty set kichwani and by the time it will be too late to catch the train, kima wewe!Sasa kwa akili zako hizo sms zimetumwa na ccm au makampuni ya simu.?
Kama zimetumwa na makampuni ya simu kwa akili yako unafikri hawana data zako?
Veve uko na akili mingi sana veve kijana agiza kinywaji yoyote hapo nitakulipiaHuwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.
NB: Kabla haujaenda kuwashtaki soma vigezo na masharti ya mtandao husika, Usije ukageuziwa kibao ukafungwa wewe badala ya kampuni.
Huna utakalofanya ulisha agree terms and conditions za mtandao wakoNasubiri wanitumie kisha utasikia au kuona nitakacho wafanya.
hata hawa sport pesa na mbet itabidi tuwafungulie mashtaka mpaka hawa tatu mzuka na biko kwanini wanatutumia meseji zao😀😀😀😀Mkuu haiko hivyo, taarifa zako zilizoko kampuni za simu ni siri ya wewe na kampuni.Taarifa hizo zikitolewa kwa mtu mwingine bila ridhaa yako ni kosa.Kampuni itatakiwa kutoa taarifa hizo serikali kwa special purpose.kilichofanyika ni makosa.Kitendo cha makampuni ya simu kutoa access ya database za wateja wao kwa wagombea urais au vyama vya siasa ni kosa.Nakuhakikishia kama customers wakalalamika kwa wingi wao na kufungua kesi ni shida
Tukiwaambia nyie ni wapumbavu mnabisha!Swali la kipumbavu kabisa, hizo companies zitatuma tu msg bila sababu yoyote? Wametuma under indue influence ya CCM. Toa kamasi kichwani, CCM ni chama kitakufa kifo cha mende kitakuacha na empty set kichwani and by the time it will be too late to catch the train, kima wewe!
I know, naamini wanaosimamia mtandao wangu siyo wajinga.hakuna unachoweza kufanya, alafu hio SMS inaitwa A2P, u will never reply to it
Umemaliza mkuu wabongo ni wavivu kusomaHuwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.
NB: Kabla haujaenda kuwashtaki soma vigezo na masharti ya mtandao husika, Usije ukageuziwa kibao ukafungwa wewe badala ya kampuni.
Does two wrongs make it right?
Toa tena kamasi kichwani pimbi wewe, ndiyo maana kukawa na ratiba ya kufanya campaign nchi nzima. Kama unaona sawa kwanini hapa Jf tusifanye campaign Jiwe Vs Lissu? Alafu iwe official kabisa na TCRA watuache tufanye maamuzi hapa hapa? Kama hao nyoka wa kijani wamelipia huduma sijui Voda/Airtel, kwani ni lazima watutaje majina yetu wanapotuomba kura? Kwanini wasiombe kura kwa kutumia utambulisho wa "MTANZANIA" tu? Kama unajua maana ya undue influence huwezi kutokwa na povu sema huko ulipo hata ukiwa na PhD nayo inatolewa kichwani wana re-place na kamasi!Tukiwaambia nyie ni wapumbavu mnabisha!
Ccm imelipia huduma kwa hizo kampuni kuwatangaza.
Kwa maneno mengine ccm imelipa hela voda, ili voda watume sms kwako kwamba wao ccm wanaomba wewe flani uwape kura kwenye uchaguzi mkuu!
Sasa hapo usichoelewa ni nini?
Huyo Lisu wenu mbona kawajaza ujinga sana?
Uhalisia wako hauendani na mkataba ulioingiliana uliponunua sim cardNimeongea uhalisia wangu wewe unanilazimisha nikubaliane nayo wewe vepee.
Wapo CCM wanaoipenda kwa dhati na hawanufaiki chochote na wala hawajanunuliwaKuwa CDM au ACT ni mapenzi ya dhati ya mtu kwani hakuna kunufaika huko tofauti na CCM, CCM wanapesa mpaka za kuwanunua wapinzani kitu ambacho chdema hawawezi fanya hata kama wakiamua
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sikuingia mkataba wa Mambo ya siasa mimiUhalisia wako hauendani na mkataba ulioingiliana uliponunua sim card