Haiwezi kiwa maisha yangu. Hata isipokuwepo mi naishi tu kiroho safi. Nilishavuka stage ya utegemezi wa mfumo
Neno ccm nilisha li block kupitia antivirus, meseji yeyote itakayothubutu kuingia kwenye simu yangu inafanyiwa scanning kwanza
Kama kuna neno CCM antivirus ina detect kua ni trojan malicious na haraka meseji hiyo inafutwa kabla hata sijaiona
Lockdown ndio kitu gani?Uko lockdown?
Washakusilimisha.Mm nimeitwa ndg JUMA, wakatii sioo jina langu, Wana nini awa watu aiseee.....??View attachment 1603666
Mimi huu ujinga sijauona kwenye simu yangu.
Unashukuru nini wakati unatoa kodi, au unafikiri ni hisani?? Machizi nchi hii hawaishi aiseePole sana, FYI mimi sifungamani na chama... kama ungelikuwa unaiona michango kwenye suala la siasa ungeelewa. Sina ule ujinga kuwa eti CCM imejenga barabara mtaani kwetu nisishukuru kwa sababu tu mie chama fulani 😀
Watu wa mitandaoni siyo wapiga kura, nani muasisi wa msemo huo?Angalia, tukichukulia tu online, magufuli ana followers 1M twitter , lissu only 150k..
Mpaka apo story imeisha
Jamaa mwongo Sana.Mimi huu ujinga sijauona kwenye simu yangu.
hiyo msg inamhusu juma na sio wewe hapo shida iko wapi?Mm nimeitwa ndg JUMA, wakatii sioo jina langu, Wana nini awa watu aiseee.....??View attachment 1603666
Tukimkosoa basi tufanye hivyo kwa 'Kumjenga' na siyo 'Kumsiliba' kama vile Yeye ndiyo 'Mkosaji' Mkuu na mwenye 'Mapungufu' pekee hapa Nchini.Hahaha sawa mkuu. Kwa hiyo tuisemee mazuri yake tu.
Hio ni reflection ya fans alionao, haimaaanishi wote ni wapiga kura but fans wanaweza geuka kua wapiga kura wako pia, same kwa lissu , but it gives a glint nan anapendwa zaidiWatu wa mitandaoni siyo wapiga kura, nani muasisi wa msemo huo?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Haah basi we ni ccm fun. SNA mda wa ubishi wa kitotoLockdown ndio kitu gani?
Leo uko sahihi japo hujajibu swaliHio ni reflection ya fans alionao, haimaaanishi wote ni wapiga kura but fans wanaweza geuka kua wapiga kura wako pia, same kwa lissu , but it gives a glint nan anapendwa zaidi
Chizi itakuwa ni wewe unaekosa kushukuru. Hata kama natoa kodi kwanini nisishukuru? Hujafundishwa adabu vizuri inaonekana na wazee walio kulea.Unashukuru nini wakati unatoa kodi, au unafikiri ni hisani?? Machizi nchi hii hawaishi aisee
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app