TCRA na TCU wachukue hatua kali kwa Wasafi TV kutokana na 'kiki' ya mapacha kufanyiana mtihani

Kulopoka lopoka kumewaponza
Wao si walitaka kik kwa pikipiki
Haya sasa kik wamepata
Media yenyewe unaenda za wambea

Ova
 
Hao Mapacha iwe kweli au urongo hawataajirika popote
Una hakika kuwa wanataka ajira yaani wanataka kuajiriwa....!!! Kama watakuwa wamepata kiinua mgongo kabla Hata hawajaanza kazi ya nini kusumbuka na mambo ya kuajiriwa....!!!

Yeyote aliyekatika mpango huu kwa Nia ya kuchafua taswira ya vyuo vikuu anatakiwa kuwajibishwa.
 
Hata kabla uchunguzi haujakamilika, critical analysis inabainisha hii ni kiki
...Kiki, Wakati Mmoja anamminya mwenzake Mkono asiropoke kwenye TV ? Ingekuwa ni jambo la kupanga, angemminyia Nini mwenzake wakati wamepanga Kiki ?
WOTE wachukuliwe Hatua !
 
Hao ndio wasomi wetu wa sikuhizi. Hili Taifa sijui linaenda wapi aisee. Unafika mahali unajiuliza inawezekanaje msomi mzuri mwenye uelewa anaenda kwenye Media anaongea upumbavu kama huo akijua kabisa ukifanyika uchunguzi inaweza chuo husika kikatengua taaluma yake.
 
Matatizo makubwa yapo kwenye misingi ya elimu yetu, mtu anasoma kwa lengo la kupata cheti tu na wala sio taaluma husika anayosomea.
 
...Kiki, Wakati Mmoja anamminya mwenzake Mkono asiropoke kwenye TV ? Ingekuwa ni jambo la kupanga, angemminyia Nini mwenzake wakati wamepanga Kiki ?
WOTE wachukuliwe Hatua !
Walipangana waseme wamewahi kufanyiana mitihani lakini wssiende deep zaidi. Huyo mwenzake alikuwa anamzuia asiropoke sana.
 
Matatizo makubwa yapo kwenye misingi ya elimu yetu, mtu anasoma kwa lengo la kupata cheti tu na wala sio taaluma husika anayosomea.
Hapa ndipo kwenye tatizo. Ndio maana vijana wanaohitimu vyuo vikuu wana uelewa mdogo. Walikariri zaidi ya kuelewa.
 
Hata muuliza swali naye ksuliza swali la kipumbavu sana. Haya sio maswali ya kuuliza.
 
Umeweka assumption kibao bila fact.
 
Sio assumptions mkuu. Mbona hivyo ni vitu vinavyoonekana?
Ni assumption kwa sababu hujaweka hata ushahidi wa wazi kuwa hawa wamepanga tu na si kwamba hao mapacha wamefanya hivyo (udanganyifu chuoni) kweli na kufunguka kwa kujisahau tu.

Yani ume assume wana akili kama zako na hawawezi kusema hivyo kama wamefanya kweli.

Wakati kitaa kuna watu wamedata kupita maelezo, jambo wewe utakaloliona la hatari huwezi kufanya, wao wanafanya wazi kwa kuchekelea.

Umeweka assumption kwamba kila mtu ana akili kama zako.

Mimi nimekaa studio kufanyiwa interview, naelewa mtu akiwa studio anavyoweza kujisahau akajiona kama anapiga stories na mtangazaji tu kijiweni, kumbe mamilioni ya watu wanamsikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…