MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Mh. Dr Faustine Ndugulile hajawahi kufanya jambo lolote la kuonekana katika Wizara yoyote aliyokuwa. Akiwa Wizara ya Afya huduma zilikuwa mbovu, watoa huduma ni miungu watu na wizi wa dawa kila mahali. Alikuwepo tu. Hana hata kimoja cha kuonesha alichosimamia.Mtu aliye sahaulika kwa utendaji mbovu ni huyu Ndungulile
Nadhani Jumanne Mama amsaidie
Nadhani si Ndungulile pekee, hawa mawaziri ndio walitoa miongozo na kusimamia sera mbovu za Meko. Kwa kuanzia Madam angevunja baraza lote.Mtu aliye sahaulika kwa utendaji mbovu ni huyu Ndungulile
Nadhani Jumanne Mama amsaidie
Kweli kabisa, unajua wao hawaguswi moja kwa moja na dhiki kama hizi, ndio maana wanaamua hata kutumia ushirikina na njia yoyote ile ili wapate nafasi ya uongozi.Nadhani si Ndungulile pekee, hawa mawaziri ndio walitoa miongozo na kusimamia sera mbovu za Meko. Kwa kuanzia Madam angevunja baraza lote.
Hata kama katiba ingekuwa haimlazimishi bado hekima ya kawaida inakataa, huwezi tumia mtu ambaye alikuwa sehemu ya tatizo kuleta suluhu.