TCRA: Namba za simu zisitumike kutoa taarifa kuhusu majanga hapa nchini. Atakayekiuka agizo hili kukiona

TCRA: Namba za simu zisitumike kutoa taarifa kuhusu majanga hapa nchini. Atakayekiuka agizo hili kukiona

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
7,574
Reaction score
10,598
Wakuu Salaam;

👇👇 Hii ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuhusu matumizi sahihi ya namba za simu.
20200501_080749_rmscr-1.jpg
 
Jukumu la kutengeneza kizazi chenye uzalendo huwa lipo mikononi mwa serikali wala si wananchi.

Wengi huwa tuna imani serikali hujengwa na kundi la raia wenye elimu mbalimbali ili kusogeza nchi mbele. Ila kama wanatumia elimu zao kufanya upumbavu ni aibu sana kwa Taifa. Serikali acheni kutumia nguvu hizi kwa mateka wasioweza hata kushika jiwe wawarushie.
 
Wakuu Salaam;

👇👇 Hii ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuhusu matumizi sahihi ya namba za simu.
View attachment 1436129
Nyumba ya jirani yangu kama inaungua naye hayupo ni kosa nikimpigia simu kumjulisha! Ndugu akipata ajali na nikipiga simu kuwajulisha ndugu nalo ni kosa? Yote hii ni kudhibiti taarifa kuhusu vifo wakati huu! Tuko safarini tumekuta ajali au daraja limebomoka nikipiga simu kujulisha wahusika nalo ni kosa!
 
Mamlaka ya Mawasiliano hapa Nchini yaani TCRA imewataarifu watumiajiwa namba za simu kuwa namba hizo ni kwa ajili ya kutoa na kupokea taarifa kwa Umma tu, Na sio kama itumiwavyo na watanzania wengi kwenye kipindi hiki cha Corona ambapo wengi wao hutumia kuhabarishana habari za "Majanga".

Aidha mamlaka hiyo imeweka wazi kuwa namba maalum za kuhabarishana habari za Majanga zinatolewa na TCRA kwa mamlaka husika na si vinginevyo.
EW5SUcxWsAEgTyX.jpg
 
Jukumu la kutengeneza kizazi chenye uzalendo huwa lipo mikononi mwa serikali wala si wananchi.

Wengi huwa tuna imani serikali hujengwa na kundi la raia wenye elimu mbalimbali ili kusogeza nchi mbele. Ila kama wanatumia elimu zao kufanya upumbavu ni aibu sana kwa Taifa. Serikali acheni kutumia nguvu hizi kwa wateka wasioweza hata kushika jiwe wawarushie.
Bosw akiagiza jambo, unakeleza kwa maslah ya Boss. Yeye ndiyo kakueka kweny hiyo nafasi
 
Nyumba ya jirani yangu kama inaungua naye hayupo ni kosa nikimpigia simu kumjulisha! Ndugu akipata ajali na nikipiga simu kuwajulisha ndugu nalo ni kosa? Yote hii ni kudhibiti taarifa kuhusu vifo wakati huu! Tuko safarini tumekuta ajali au daraja limebomoka nikipiga simu kujulisha wahusika nalo ni kosa!
Ukikiuka agizo, utakiona
 
Kwahio nikipiga ile namba ya umi kutiport janga la mgonjwa nitakuwa nimetenda kosa wakuu
 
Kuna jambo halijaeleweka kuhusu tangazo,labda mpaka mifano ya majanga yapi yasitolewe tarifa.Hata hivyo kama majanga hayatakiw kuripotiwa basi tuhamishe magoli maana uwanja siyo wetu tena.
Ok simu ni kwa ajili ya umbea tu!!

IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!
 
Hapa sijaelewa mimi tu au tuko wengi?
"KUTOA AU KUPOKEA TAARIFA KWA UMMA"
Yaani Kama kuna tukio nalishuhudia Kama ule moto wa Lori la MAFUTA moro so sipaswi kutoa taarifa kwa umma?? Au nikitumiwa taarifa pia nakuwa mkosaji??

Sent using Jamii Forums mobile app
TCRA wamesema ni marufuku..usibishane na serikali, utakiona.

Ni namba maalumu tu.
 
Tutakapofikia uchaguzi nadhani chamoto tutakuwa tumekiona na hasa viongozi wa upinzani huenda kutakuwa maagizo mengi zaidi kuhusu matumizi ya simu.
Lengo ni kuminya uhabarishaji kutoka pembe zote za tanzania
 
Back
Top Bottom