Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Hapa unamaanisha kizazi cha wajinga na sio wazalendo.Jukumu la kutengeneza kizazi chenye uzalendo huwa lipo mikononi mwa serikali wala si wananchi.
Wengi huwa tuna imani serikali hujengwa na kundi la raia wenye elimu mbalimbali ili kusogeza nchi mbele. Ila kama wanatumia elimu zao kufanya upumbavu ni aibu sana kwa Taifa. Serikali acheni kutumia nguvu hizi kwa wateka wasioweza hata kushika jiwe wawarushie.
Sent using Jamii Forums mobile app