TCRA: Namba za simu zisitumike kutoa taarifa kuhusu majanga hapa nchini. Atakayekiuka agizo hili kukiona

Bado hawaoni umuhimu wa kupewa taarifa?!
 
SASA TCRA si bora wafute mitandao yote ya simu kama ndiyo hivyo! wafute tgo.vda..airtel...haltl..ttcl..smart... futa vyoote
 
Hawajakataza kutumia mitandao ya simu bali ufate maagizo, la sivyo utakiona
 
Hivi hawa watu nyuma ya serikali wapo Tz kweli...au ndo kutuzimia uhuru wa kupeana taarifa na habari.
 
Back
Top Bottom